TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 15,266
- 25,555
- Thread starter
- #81
Msanii anatakiwa kufanyiwa usanii tena wa bongoland.Utapeli ni wa wazi kabisa kuhusu wasifu wa hiyo picha.
Sare ya nchi,nembo na cheo vimedhihirisha uongo na nia ovu aliyodhamiria kukutenda mtu anayeigiza kukutafuta 'urafiki wa kalamu'.
Unakodi tax ukifika jirani na home unaangalia nyumba ambayo ina mlango wa mbele na nyuma, then unamwambia dereva tax nakuja, unaingia na kupitia mlango wa nyuma unatoboa na kusepa.