Wadau nipeni uzoefu na ujanja wa kukwepa chuma ulete

kama kuna chuma ulete si aende kwa bank tellers akajichotee mamilioni ya pesa.

Mkuu bank sio eneo la kitoto pale kuna ulinzi wa kimwili na kiroho pia, waulize Bank managers wanaofungua matawi watakuambia..

So hapo kuna either anapigwa kishetani AU hesabu zake hazipandi sawasawa
 
hakuna uchawi wala nini, hapo kuna mtu wako tu wa karibu huwa anaiba
 
Bank na Ikulu sio mahali kwa kutania mzee...!! Kule kwa motoo Sana unadhani kuchota pesa bank in rahisi oohoo...Uchawi unadundaa pale... Sawa na MTU utake kumloga Jiwee...haa ha ha
 
Sigara kali !! Mwenzako kaumizwa na chuma ulete . Wewe huamini ila ikikupata utaamini . Siku moja utasonga ugali wa kutosha familia yako ila ukinyanyua tu tonge moja ugali umeshaisha . Utashangaa ila ni mambo ya ulimwengu wa roho .
😀😀😀😀😀😀
 
Bank na Ikulu sio mahali kwa kutania mzee...!! Kule kwa motoo Sana unadhani kuchota pesa bank in rahisi oohoo...Uchawi unadundaa pale... Sawa na MTU utake kumloga Jiwee...haa ha ha
teh teh teh teh......
 
kama kuna mtu umemuajiri au mnasaidia kufanya hiyo kazi kuwa naye makini inawezekana kabisa yeye ndo akawa anakupiga hizo hela ila kuna uwezekano wa chuma ulete kuwepo mi nimeishi na wakinga wanafanya sana hiyo michezo
 
Hii ndio wahenga wanasema "KIKULACHO KI NGUONI MWAKO"
 
Hakuna cha chuma ulete wala nini.
Ni matumizi na matanuzi yako yasiyo na mpango.
Hizo fedha hebu ziingize benki au mpesa halafu tuambie kama wamezifuata huko huko.
Jua kuwa mimi ndio mwenye hii biashara so najua niachotumia na upotevu wa ela , siwez kufanya ujing kabiashara wakat nko kikaz brow
 
Pole ndugu ,uli sovu vp tatzo lako
 
Asnt huyo dogo ajawah mkuta kwakuw hakun anae amin bla yakukumta sometimes
mkuu nenda tandika kawaulizie watu wa mpesa/airtel money wanavyolia hadi wanafunga biashara!!!haya mambo huwezi kuyajua kama haya jakukuta
 
Nafanyia kazi
 
Acha juamini ushirikina kihinga.

Jipime wewe mwenyewe kuna sehemu unakosea.

Naweza kusema kwamba kama una akili ndogo ya kuamini chuma ulete huna akili kubwa ya ku control hela yako.

Unaweza kuambiwa kuna mganga wa kienyeji anayezuia chuma ulete, mlioe hela akuindikee chuma ulete.

Ukampa hela.

Na hata hiyi habari ya kwenda kwa mganga ikawa chuma ulete.
 
Kuna kipnd huwa nafanya mwenyewe kazi na yananikuta ndugu
kama kuna mtu umemuajiri au mnasaidia kufanya hiyo kazi kuwa naye makini inawezekana kabisa yeye ndo akawa anakupiga hizo hela ila kuna uwezekano wa chuma ulete kuwepo mi nimeishi na wakinga wanafanya sana hiyo michezo
 
Wew unamin kuwa mambo ya kiswahili hayapo (uchawi)
Nafanya mimi na nimeyaona siku moja nawe iman yako itajifunza
 
Uwe makini na mahesabu yako ya biashara,hakikisha unajua umeingiza kiasi gani kimetumika kiasi gani utagundua wapi unakosea,kuwaza moja kwa moja chuma ulete ni udhaifu wa akili kufikiri
 
Uwe makini na mahesabu yako ya biashara,hakikisha unajua umeingiza kiasi gani kimetumika kiasi gani utagundua wapi unakosea,kuwaza moja kwa moja chuma ulete ni udhaifu wa akili kufikiri
Brow cjawaz moja kwa moja jua kuw hadi na post hii post nimejichunguza pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…