Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 4,302
- 7,815
hivi mkuu kwani unadhani zile bank zipo zipo tu kama unavyodhani wenyewe wanajua miko yaoChuma ulete na uchawi in general is a myth
.. kama kuna chuma ulete si aende kwa bank tellers akajichotee mamilioni ya pesa. Aje kwa watu wenye vimitaji vidogo ili iweje??? Narudia tena watanzania acheni kudanganyana. Chuma Ulete haiexist... mleta mada tazama vizuri biashara yako ujue tundu linalotorosha hela liko wapi ila kuhusu chuma ulete sahau. Ni uwongo na ujinga kuamini kuwa kuna chuma ulete
ushawahi kufanya biashara?Hauna kitu kinaitwa chuma ulete, wewe weka hesabu zako sawasawa..tumia daftari kurekodi kila unachopata na unachotumia.
Na huenda tofauti ya maeneo ikachangia biashara kuyumba, Mtwara si sawa na Dar kibiashara.
Nafanya biashara.ushawahi kufanya biashara?
Brother hakuna chuma ulete kwenye biashara nakuhakikishia. Au nikwambie tu pesa iliyohesabiwa chuma ulete hachukui. Hesabu pesa zako kila siku,angalia matumizi yako. Kwa biashara
Naelewa nachokiongea. Niamini mimi.Nakusikitikia siku yakikupata uta elewa huyu jamaa ana maanisha nini
Naelewa nachokiongea. Niamini mimi.
Hii ishu ya chuma ulete ni nonsense kabisa! Haiwezekani mtu/watu/ miungu/ wachawi etc wenye uwezo wa kuiba pesa za watu kimazingara waache kwenda kuiibia benki fedha nyingi wajitajirishe wang'ang'ane na elfu 90, 50 na pesa nyingine ndg ndg za watu.Naandika haya kutokana na yanayojiri katika biashara zangu
Niliwahi kufanya biashara Kimara na nilipata maendeleo mazuri kibiashara ila nilihama kwakuwa ndio home boi
Sasa baada ya kuhama nimekuja huku Kusina mwa Tanzania (Mtwara)
Kwa sasa niko na miezi na 8 katika biashara yangu (mobile money) ila sikuwa naamini kuhusu chuma ulete ila kwa sasa huku kunifanya niamin kwakuwa kila baada ya 1 au wiki nakutana na upotevu wa ela nyingi hadi biashara inashuka kabisa
Wadau nipeni uzoefu na ujanja wa kukwepa chuma ulete kamisheni ni nzuri ila mtaji unakufa kwahiyo ni kazi bure ....
Hii ishu ya chuma ulete ni nonsense kabisa! Haiwezekani mtu/watu/ miungu/ wachawi etc wenye uwezo wa kuiba pesa za watu kimazingara waache kwenda kuiibia benki fedha nyingi wajitajirishe wang'ang'ane na elfu 90, 50 na pesa nyingine ndg ndg za watu.
The fact kwamba hawawezi kuiibia benki kwa mazingara yao, wanawaibia wanaotunza fedha nyumbani ni ushahidi tosha kwamba fedha ikitunzwa vzr na matumizi yake kurekodiwa haiwezi kupotea bila mhusika kufahamu .
Nyie watu wa chuma ulete mnakumbwa na mambo makubwa mawili tu:
1:Mnatumia fedha bila kutunza kumbukumbu iwe ya kichwa au ya maandishi
2:Watu wanaowazunguka mfano ndugu, mme , mke wanaweza kuzifikia fedha zenu hivyo inawezekana mnapigwa kimya kimya bila kujua.
Usibishane na watu waliozoea mambo ya salary advance,utapa tabu sana.watu mkienda shule mkajua Yes , No basi hua mnaona kila kitu kipo tu kma kilivyo na mna amini sana sayansi ya vitabuni , mimi nme experience hicho kitu sababu nna kampuni ya microfinance mambo mengine siwez sema acha niishie hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya mambo yapo kabsa na yananitokea muda huu nacomment kwa thread.....nawaz na kuwazua mahal pesa zimepotea hasa hzi za miamala mana huwa sichangany na mauzo.....hata mm c muamin kabsa ya mambo ya chuma ulete au ushurki, na poa ni msomi, lKin naona namna kaz yake inaniathir....duuh...solution nafanya mambi maalum ss na kama kuna alternatives nyingnezo nambeni ushaur wana Jf ila isiwe kwa sangoma.Usibishane na watu waliozoea mambo ya salary advance,utapa tabu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
ukiiachia nitag bossBank wanaziiba mzee baba,kuna mchawi alitoa siri hiyo,jinsi wanavyoziibia bank,na wanasema kuna bank zinaweka matambiko wasiibiwe baadhi kama crdb huwa wanapata ugumu kuiba ila bank nyingine wanaziibia, ngoja nitaelezea story ilivyo ni story ndefu kidogo hawa wachawi hawana maana