Wadau nipeni uzoefu na ujanja wa kukwepa chuma ulete

Wadau nipeni uzoefu na ujanja wa kukwepa chuma ulete

Hauna kitu kinaitwa chuma ulete, wewe weka hesabu zako sawasawa..tumia daftari kurekodi kila unachopata na unachotumia.

Na huenda tofauti ya maeneo ikachangia biashara kuyumba, Mtwara si sawa na Dar kibiashara.
 
tumia SANDUKU LA CHUMA KUHIFADHI ELA
UKIMKABIDHI PESA APOKEE MARA MOJA SIO ASITESITE

hapo kuna mtu mmoja ndo anakufanyia huo mchezo chunguza katika wateja wako wanaokuja mara kwa mara ambao wao wakija lazima uwarudishie chenji tuu
meek kila siku anakuja na elf 10 anaweka elf 7 yaab ili mpadi tu umrudishie chenji
 
Chuma ulete na uchawi in general is a myth
.. kama kuna chuma ulete si aende kwa bank tellers akajichotee mamilioni ya pesa. Aje kwa watu wenye vimitaji vidogo ili iweje??? Narudia tena watanzania acheni kudanganyana. Chuma Ulete haiexist... mleta mada tazama vizuri biashara yako ujue tundu linalotorosha hela liko wapi ila kuhusu chuma ulete sahau. Ni uwongo na ujinga kuamini kuwa kuna chuma ulete
hivi mkuu kwani unadhani zile bank zipo zipo tu kama unavyodhani wenyewe wanajua miko yao
BANK haziibiwi 7bu pesa zinahifadhiwa kwenye droo za madini chuma aluminium nk na pia bank ukabidhiwi pesa mkono kwa mkono zinawekwa chini unachukua mwenyewe

mwambie pesa aweke kwenye sufuria au sanduku la chuma
chuma ulete haitafanya kazi au km kuna mtu anamuhisi asimkabithi mkononi pesa mkono kwa mkono aweke chini mezani achukue MWENYEWE akimrudishia chenji au akimpa pesa zake
 
Hauna kitu kinaitwa chuma ulete, wewe weka hesabu zako sawasawa..tumia daftari kurekodi kila unachopata na unachotumia.

Na huenda tofauti ya maeneo ikachangia biashara kuyumba, Mtwara si sawa na Dar kibiashara.
ushawahi kufanya biashara?
 
Brother hakuna chuma ulete kwenye biashara nakuhakikishia. Au nikwambie tu pesa iliyohesabiwa chuma ulete hachukui. Hesabu pesa zako kila siku,angalia matumizi yako. Kwa biashara
 
Nakusikitikia siku yakikupata uta elewa huyu jamaa ana maanisha nini
Brother hakuna chuma ulete kwenye biashara nakuhakikishia. Au nikwambie tu pesa iliyohesabiwa chuma ulete hachukui. Hesabu pesa zako kila siku,angalia matumizi yako. Kwa biashara
 
Hivi tech ya uchawi huwa haikui na kubadilika? Mfano kuna mambo mnayasema hapa kama njia za kujikinga nimeanza kuyasikia miaka 6 hko nyuma, je hawa wanaocheza hii michezo hawajagundua njia mbadala za kuzidi kuumiza watu?
 
Write your reply...chukua mfupa wa mbwa aliyejifia au aliyegongwa uchanganye kwenye pesa zako au ulizia mfupa wa nguruwe pori pesa zako hazitakimbia
 
Naandika haya kutokana na yanayojiri katika biashara zangu

Niliwahi kufanya biashara Kimara na nilipata maendeleo mazuri kibiashara ila nilihama kwakuwa ndio home boi

Sasa baada ya kuhama nimekuja huku Kusina mwa Tanzania (Mtwara)
Kwa sasa niko na miezi na 8 katika biashara yangu (mobile money) ila sikuwa naamini kuhusu chuma ulete ila kwa sasa huku kunifanya niamin kwakuwa kila baada ya 1 au wiki nakutana na upotevu wa ela nyingi hadi biashara inashuka kabisa

Wadau nipeni uzoefu na ujanja wa kukwepa chuma ulete kamisheni ni nzuri ila mtaji unakufa kwahiyo ni kazi bure ....
Hii ishu ya chuma ulete ni nonsense kabisa! Haiwezekani mtu/watu/ miungu/ wachawi etc wenye uwezo wa kuiba pesa za watu kimazingara waache kwenda kuiibia benki fedha nyingi wajitajirishe wang'ang'ane na elfu 90, 50 na pesa nyingine ndg ndg za watu.
The fact kwamba hawawezi kuiibia benki kwa mazingara yao, wanawaibia wanaotunza fedha nyumbani ni ushahidi tosha kwamba fedha ikitunzwa vzr na matumizi yake kurekodiwa haiwezi kupotea bila mhusika kufahamu .
Nyie watu wa chuma ulete mnakumbwa na mambo makubwa mawili tu:
1:Mnatumia fedha bila kutunza kumbukumbu iwe ya kichwa au ya maandishi
2:Watu wanaowazunguka mfano ndugu, mme , mke wanaweza kuzifikia fedha zenu hivyo inawezekana mnapigwa kimya kimya bila kujua.
 
watu mkienda shule mkajua Yes , No basi hua mnaona kila kitu kipo tu kma kilivyo na mna amini sana sayansi ya vitabuni , mimi nme experience hicho kitu sababu nna kampuni ya microfinance mambo mengine siwez sema acha niishie hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usibishane na watu waliozoea mambo ya salary advance,utapa tabu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usibishane na watu waliozoea mambo ya salary advance,utapa tabu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya mambo yapo kabsa na yananitokea muda huu nacomment kwa thread.....nawaz na kuwazua mahal pesa zimepotea hasa hzi za miamala mana huwa sichangany na mauzo.....hata mm c muamin kabsa ya mambo ya chuma ulete au ushurki, na poa ni msomi, lKin naona namna kaz yake inaniathir....duuh...solution nafanya mambi maalum ss na kama kuna alternatives nyingnezo nambeni ushaur wana Jf ila isiwe kwa sangoma.
 
Bank wanaziiba mzee baba,kuna mchawi alitoa siri hiyo,jinsi wanavyoziibia bank,na wanasema kuna bank zinaweka matambiko wasiibiwe baadhi kama crdb huwa wanapata ugumu kuiba ila bank nyingine wanaziibia, ngoja nitaelezea story ilivyo ni story ndefu kidogo hawa wachawi hawana maana
ukiiachia nitag boss
 
Back
Top Bottom