Wadau nisaidieni ushauri kimawazo kwenye jambo hili

Wadau nisaidieni ushauri kimawazo kwenye jambo hili

Amesema yupo bench mkuu ,kumanishaa Hana kazi ss atachukuwa wap mkopoo afanye hyo biashara..

Mtu chake mkuu km anaonaa akiuza akiwekeza Kwenye biashara itakayomlipa mbona fresh tu mkuu...
Kwani nyumba siyo Asset, mbona Benki nyingi tu zinatoa mikopo kwa dhamana ya mali isiyohamishika kama vile nyumba!
 
Pole na hongera mkuu.
Ila naona kama tuna situation mbili tofauti kwa % fulani. Ila yote vyema kama umepata solution
Pambana mkuu vinginevyo unaweza ukauza nyumba na shida zisiishe hatimae ukauza na ya pili, kuuza rahisi sana ila kujenga ni kazi mara 70 yake
 
Nyumba nzima laki na nusu per month...??
Hio nyumba Iko wapi...?
 
Kwani nyumba siyo Asset, mbona Benki nyingi tu zinatoa mikopo kwa dhamana ya mali isiyohamishika kama vile nyumba!
Benki ipi hio ndugu niende jumatatu. Mana hapa ushauri unaenda kwa matendo..

Nb: nimeshaingia benki zote nilipo.
 
Pambana mkuu vinginevyo unaweza ukauza nyumba na shida zisiishe hatimae ukauza na ya pili, kuuza rahisi sana ila kujenga ni kazi mara 70 yake
Mkuu ungekua specific kabisa uniambie mkakati wa kufanya kulingana na details , huo mpambano mikakati yake ..
 
Kuuza nyumba hili wazo linaweza kuwa bora endapo wewe ni MTU hustler na unajua unataka kufanya nini
 
Mkuu ungekua specific kabisa uniambie mkakati wa kufanya kulingana na details , huo mpambano mikakati yake ..
Nmekupa hints jinsi nilivyopambana ukasema tunatofautiana kidogo labda unipe huo utofauti ili niweze kukushauri zaidi
 
Kuuza nyumba hili wazo linaweza kuwa bora endapo wewe ni MTU hustler na unajua unataka kufanya nini
Mkuu dah nilikua nimekuandikia msg ndefu nikujibu uliniuliza maswali , simu ikajirestart naona imebid nianze upya
Ila kwa kifup biashara ambazo nataka kufanya
-kufungua liquor store
-bajaji business
-kua na studio ya mziki.
- kua na duka la kuuza vitu vya jumla
-saluni ya kiume/kike
- kua na duka la nguo+viatu+ accessories +cosmetics ( hii ni kwa wife)

Uliulza kuhusu mkopo.
Mim am not eligible to get bank loan as am neither public servant nor private sector servant , and i dont have stable business to show a bank statement of period of three to 4 years that will show to the bank how am i be able to repay back the loan in due time.
 
Nmekupa hints jinsi nilivyopambana ukasema tunatofautiana kidogo labda unipe huo utofauti ili niweze kukushauri zaidi
Sawa mkuu ngoja nirudie kusoma upya stori yako.
 
Mkuu dah nilikua nimekuandikia msg ndefu nikujibu uliniuliza maswali , simu ikajirestart naona imebid nianze upya
Ila kwa kifup biashara ambazo nataka kufanya
-kufungua liquor store
-bajaji business
-kua na studio ya mziki.
- kua na duka la kuuza vitu vya jumla
-saluni ya kiume/kike
- kua na duka la nguo+viatu+ accessories +cosmetics ( hii ni kwa wife)

Uliulza kuhusu mkopo.
Mim am not eligible to get bank loan as am neither public servant nor private sector servant , and i dont have stable business to show a bank statement of period of three to 4 years that will show to the bank how am i be able to repay back the loan in due time.

OK naona umeachambua vzr Ila biashara ya vileo kwa ARUSHA imekaa vizuri Sana .

Cha muhimu tafuta sehemu nzuri.

Then utakapofanikiwa kuanza biashara ufanye biashara Kama MTU aliyeajiriwa (Nidhamu iwe kubwa).
 
"kuna kipindi kabla sijawa mtu mzima nilikua napishana na mtu anaongea mwenyewe na kurusha mikono hewani, nilikua najiuliza sana, ila badae sana nikapata majibu", na bado. Ila ujue tekinolojia imekua, kunavijisimu vidogo sana ambavyo humezwa kisha kukufanya mikono yako iwe huru, ukipigiwa unapokea na unaweza ukapiga na kuongea bila watu kuiona simu yako, wanaweza wakadhani umechanganyikiwa kumbe ni kibano cha maisha.
[emoji3]
 
OK naona umeachambua vzr Ila biashara ya vileo kwa ARUSHA imekaa vizuri Sana .

Cha muhimu tafuta sehemu nzuri.

Then utakapofanikiwa kuanza biashara ufanye biashara Kama MTU aliyeajiriwa (Nidhamu iwe kubwa).
Asante sana mkuu...ngoja niweke plans na kuzi execute.
 
Kwa sasa fukuza hao wapangaji leta wapya. Wakati ukiendelea na huo mchakato fanya utafiti kuhusu biashara unayotaka kuifanya endapo utaiuza nyumba. Sikushauri uuze nyumba ukiwa kwenye hii hali ya wasiwasi. Fukuza hao wapangaji kwanza. Kama una kitu kingine cha kuuza kama gari basi uza uanze Biashara taratibu. KUUZA NYUMBA YAKO IWE UAMUZI WA MWISHO KABISA NJIA ZINGINE ZOTE ZIKISHINDIKANA.
 
Kwa sasa fukuza hao wapangaji leta wapya. Wakati ukiendelea na huo mchakato fanya utafiti kuhusu biashara unayotaka kuifanya endapo utaiuza nyumba. Sikushauri uuze nyumba ukiwa kwenye hii hali ya wasiwasi. Fukuza hao wapangaji kwanza. Kama una kitu kingine cha kuuza kama gari basi uza uanze Biashara taratibu.
Asante mkuu..

Utafiti nshafanya kama nilivyoainisha hapo juu kwa mdau nae aliniuliza ..

Pia sina gari mkuu.
 
Kaka yangu,Nina experience nao hao wenye mashati ya blue na meupe,.watu wengi hudhani ukiwa na nyumba tu unakopesheka hapana,nyumba haitoi rejesho,wanataka waone rejesho linapatikanaje kwanza ndio watoe pesa,ndio maana wanakagua mauzo ya mwaka,wanataka bank statement ya mzunguko wa biashara,wanataka kujihakikishia hiyo biashara hapo ina zaidi ya mwaka yaani mambo ni mengi
Nimejionea hili
 
Back
Top Bottom