Kwani nyumba siyo Asset, mbona Benki nyingi tu zinatoa mikopo kwa dhamana ya mali isiyohamishika kama vile nyumba!Amesema yupo bench mkuu ,kumanishaa Hana kazi ss atachukuwa wap mkopoo afanye hyo biashara..
Mtu chake mkuu km anaonaa akiuza akiwekeza Kwenye biashara itakayomlipa mbona fresh tu mkuu...
Inategemea na demand ya wapangaji maeneo nyumba ilipo maana si unaona Kodi yenyewe ni 140k tu.Usiuze. Wapangaji wamekuzoea hao! Wape miezi mitatu waondoke utafute Mpangaji mpya na uwe na Mkataba unaojieleza vizuri.
Pambana mkuu vinginevyo unaweza ukauza nyumba na shida zisiishe hatimae ukauza na ya pili, kuuza rahisi sana ila kujenga ni kazi mara 70 yakePole na hongera mkuu.
Ila naona kama tuna situation mbili tofauti kwa % fulani. Ila yote vyema kama umepata solution
Mkuu ungekua specific kabisa uniambie mkakati wa kufanya kulingana na details , huo mpambano mikakati yake ..Pambana mkuu vinginevyo unaweza ukauza nyumba na shida zisiishe hatimae ukauza na ya pili, kuuza rahisi sana ila kujenga ni kazi mara 70 yake
Nmekupa hints jinsi nilivyopambana ukasema tunatofautiana kidogo labda unipe huo utofauti ili niweze kukushauri zaidiMkuu ungekua specific kabisa uniambie mkakati wa kufanya kulingana na details , huo mpambano mikakati yake ..
Mkuu dah nilikua nimekuandikia msg ndefu nikujibu uliniuliza maswali , simu ikajirestart naona imebid nianze upyaKuuza nyumba hili wazo linaweza kuwa bora endapo wewe ni MTU hustler na unajua unataka kufanya nini
Mkuu dah nilikua nimekuandikia msg ndefu nikujibu uliniuliza maswali , simu ikajirestart naona imebid nianze upya
Ila kwa kifup biashara ambazo nataka kufanya
-kufungua liquor store
-bajaji business
-kua na studio ya mziki.
- kua na duka la kuuza vitu vya jumla
-saluni ya kiume/kike
- kua na duka la nguo+viatu+ accessories +cosmetics ( hii ni kwa wife)
Uliulza kuhusu mkopo.
Mim am not eligible to get bank loan as am neither public servant nor private sector servant , and i dont have stable business to show a bank statement of period of three to 4 years that will show to the bank how am i be able to repay back the loan in due time.
[emoji3]"kuna kipindi kabla sijawa mtu mzima nilikua napishana na mtu anaongea mwenyewe na kurusha mikono hewani, nilikua najiuliza sana, ila badae sana nikapata majibu", na bado. Ila ujue tekinolojia imekua, kunavijisimu vidogo sana ambavyo humezwa kisha kukufanya mikono yako iwe huru, ukipigiwa unapokea na unaweza ukapiga na kuongea bila watu kuiona simu yako, wanaweza wakadhani umechanganyikiwa kumbe ni kibano cha maisha.
Asante sana mkuu...ngoja niweke plans na kuzi execute.OK naona umeachambua vzr Ila biashara ya vileo kwa ARUSHA imekaa vizuri Sana .
Cha muhimu tafuta sehemu nzuri.
Then utakapofanikiwa kuanza biashara ufanye biashara Kama MTU aliyeajiriwa (Nidhamu iwe kubwa).
Asante mkuu..Kwa sasa fukuza hao wapangaji leta wapya. Wakati ukiendelea na huo mchakato fanya utafiti kuhusu biashara unayotaka kuifanya endapo utaiuza nyumba. Sikushauri uuze nyumba ukiwa kwenye hii hali ya wasiwasi. Fukuza hao wapangaji kwanza. Kama una kitu kingine cha kuuza kama gari basi uza uanze Biashara taratibu.
Nakusihi sana ndugu yangu jipe muda kidogo.....Asante mkuu..
Utafiti nshafanya kama nilivyoainisha hapo juu kwa mdau nae aliniuliza ..
Pia sina gari mkuu.
Nimejionea hiliKaka yangu,Nina experience nao hao wenye mashati ya blue na meupe,.watu wengi hudhani ukiwa na nyumba tu unakopesheka hapana,nyumba haitoi rejesho,wanataka waone rejesho linapatikanaje kwanza ndio watoe pesa,ndio maana wanakagua mauzo ya mwaka,wanataka bank statement ya mzunguko wa biashara,wanataka kujihakikishia hiyo biashara hapo ina zaidi ya mwaka yaani mambo ni mengi