hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 13,628
- 20,992
Kwakuwa mamlaka husika zimeshindwa, basi nataka vijana wapigania maendeleo tuziondoe hizi app za kitapeli.
Niliwapigia Simu TCRA wakasema hawahusiki niende polisi.
Njia za kuziondoa hizi app ni simple tu, kama una nyumba hujamalizia basi watahusika kumalizia, kama huna boda boda basi watahusika kununua
Cha kwanza uwe na simu janja, cha pili uwe na laini ya muda mrefu usiyoitumia mara kwa mara au kwa shughuli za kiofisi
Iondoe majina Yale muhimu, weka majina ya watu wasiopatikana, wasevu majina kama baba, mama, dada, shangazi, mjomba n.k
Kuwa na vitambulisho kama NIDA,VOTER ID, LICENSE.
Ingia mzigoni ,zipo kama App 50,Wana riba kubwa na ndani ya siku 7 wanataka ulipe huu ni utapeli na unyonyaji kampuni hizi hazijasajiliwa na hazijulikani ofisi zao zipo wapi
Sasa cha kufanya kopa na ulipe ,kiwango kikifika juu ,beba tembea
Kanunue Pikipiki, au kamalizie nyumba yako, au fanyia kitu cha maana
Hizi pesa ni za unyonyaji, na utakatishaji fedha
Serikali ipo bize na CHADEMA na kuharibu chaguzi,matapeli wanaumiza wananchi
Hadi sasa nishawalamba laki 5, naendelea kuwapuna maana nimejaribu kuwasiliana na mamlaka wanasema hawahusiki