kimbomba25
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 1,160
- 2,117
Soko ni huria; nendeni mkakope penye riba nafuu. Ni rahisi tu!
Msipokwenda kukopa kwao watafunga app zao na hamtawaona tena.
Tatizo lenu mnataka pesa zao kwa utaratibu wenu. Wahenga wakasema, kisebusebu na kiroho papo!