Wadau sasa hapa natokaje..?

Wadau sasa hapa natokaje..?

Chagua mmoja mwambie leo tubasherekea birthday yangu na yako ili kusave hela. Hela ni ngumu sana. Mwingine mwambie tunaunganisha yako na yangu tutaifanya kesho tunasave hela.
Au sio master shivoo 😹😹
 
Chagua mmoja mwambie leo tubasherekea birthday yangu na yako ili kusave hela. Hela ni ngumu sana. Mwingine mwambie tunaunganisha yako na yangu tutaifanya kesho tunasave hela.
Wahuni kwenye moja na mbili, dah
 
Twendeni taratibu limenikamata mwenzenu!, Mkeka umekaa hivi

Janeth siku yake yakuzaliwa ni 23/2... ambayo ni leo!.
Jackie nae mchepuko siku yake ya kuzaliwa ni 23/2.. ambayo pia ni leo!.
Bongo linanichemka hapa niende kwanani niache kwanani!!!
kwanza nitafanyaje sehemu moja niende na kwengine nisiende..?
Keka lamwisho ambalo lipicha limekaa kijambazi ni kesho 24/2.. Ni siku yangu yakuzaliwa hivyo jack na jane watataka kuja kunitakia happy birthday to you!!.

Nimeamini shetani hakosi jambo lakukupigia hata kama upo sawa na mapenzi yako ye anakuchora tu anajua wapi hesabu zake atajumlisha nakutoa!, Next time kigezo cha siku za kuzaliwa za wapenzi wangu nitakuwa nazikagua maana sio kwa hili komwe kuniuma hivi!!.

Hili ni zimwi likujualo linakumaliza sio lile halikuli likakwisha!.
Wakuu kwenye moja na mbili natokaje hapa..?
Unakosaje hata sehemu ya kwenda?? Yaani umekosa hata safari ya Dharula ya kwenda Mkoani????? Unaaga unaenda Mkoani kwa wote wawili, kisha unatafta manzi mpya unaenda kulalanaye lodge mpaka Tarehe 25 unarudi Mjini.
 
Hii Chai ni chungu sana umezidisha kipimo cha majani halafu ukaiacha jikoni muda mrefu
 
Back
Top Bottom