Wadau Sicle Cell inaniangamizia mtoto wangu msaada wa haraka jaman

Kama unahisi kuwa ni sickle cell, basi mpeleke mtoto kwenye Clinic ya Dr Julie Makani pale Muhimbili.

Website yao ni hii hapa,

Namba zao pia ziko hapa chini..

+255-768-680-688
+255-769-680-688
 
Kama unahisi kuwa ni sickle cell, basi mpeleke mtoto kwenye Clinic ya Dr Julie Makani pale Muhimbili.

Website yao ni hii hapa,

Namba zao pia ziko hapa chini..

+255-768-680-688
+255-769-680-688

Ahsante nakushukuru Mkuu ntawafuatilia.
 
Matola kama unajua tiba au nini afanye, msaidie plz! muone huruma huyo mtoto anaeteseka
 
Last edited by a moderator:
Matola kama unajua tiba au nini afanye, msaidie plz! muone huruma huyo mtoto anaeteseka

Mbona nimeshaeleza vizuri tu, thread hii ipo kwa zaidi ya miaka mitatu AshaDii alijitolea thread zote useful kazifungulia thread moja na kuweka link zote.

Jukwaa la JF doctor juu ukiangalia kwa makini utaiona sticky thread ya AshaDii, au nimsaidie vipi zaidi?
 

mkuu pole sana ase.....kwanza nina mpwa wangu mtoto wa dada yangu..ase alizaliwa na huu ugonjwa
ila kama mfuko haupo vizuri,dah utapata sana misuko suko...maana dawa za matibabu ni very expensive kwa watoto
na tiba nzuri ni agha khan mkuu,ubaya wa huu ugonjwa kwa watoto ni ukosefu wa appetite ya kula...mtoto anadhohofika,kutwa maradhi nyemelezi kumtawala
pole sana mkuu
 

Asante Mkuu nikusema apo agha khan wanatibu kabisa hili tatizo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…