kama unakula nyanya chungu acha kabisa.... ila muhimu umwone daktari.!!!!
kule JF DOCTORS nadhani utapata msaada zaidi
Labda maji ya kunywa au maji ya kuoga........................hahahahahhahah umenichekesha bibie hujambo lakini Mamndenyi i miss you..........Mmmh maji gani kwani. Eleza vizuri upate maujuzi hapa.
kwani hapa ni wapi?