habar wana jf, naomben ushauri juu ya kumaliza au kupunguza tatizo la majimaji mengi uken wakati wa tendo la ndoa tatizo hili linapelekea mm kumkosea ham mwenzangu kwan kuna wakati mashne inagoma kabisa maana ile hali inaniathir had kisaikolojia plz niambien la kufanya mimi na mpenzi wangu. Asante kwa kusoma ushaur wako ni wa muhimu sana!