Wadau tiba ya hii ni nini?

Wadau tiba ya hii ni nini?

edman

Member
Joined
Sep 21, 2013
Posts
42
Reaction score
6
habar wana jf, naomben ushauri juu ya kumaliza au kupunguza tatizo la majimaji mengi uken wakati wa tendo la ndoa tatizo hili linapelekea mm kumkosea ham mwenzangu kwan kuna wakati mashne inagoma kabisa maana ile hali inaniathir had kisaikolojia plz niambien la kufanya mimi na mpenzi wangu. Asante kwa kusoma ushaur wako ni wa muhimu sana!
 
kama unakula nyanya chungu acha kabisa.... ila muhimu umwone daktari.!!!!
 
hapo ndio ninapokuwa natofautiana na wanaume wenzangu walio wengi....kwa upande wangu mi napenda papuchi kubwa na yenye maji mengi nahisi kama hiyo ya mkeo
 
Duh! Pole mkuu!
Mwenyewe sipendagi chapwa chapwa!
Yaani inaboa! Kama unapiga makofi vile! lol!
 
asanten wadau ambao mmetoa ushaur ntaufanyia kaz! Aman kwenu
 
Back
Top Bottom