Uhuru24
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 4,112
- 4,361
Kuna mambo yanashangaza na kustajabisha, Israel inapopigana vita na upande mwingine sikumbuki ni lini aliomba mazungumzo ya kusitisha vita.
Ila ikitokea mapambano yanahamia upande wao ni wepesi sana kuomba kusitisha vita, sijaelewa kwanini wanakuwa wepesi kuomba mazungumzo??
Mfano turudi majuzi tu hapa, Wanashambulia Lebanon hatukusikia kutaka mazungumzo, ila wajomba walipokuja kujibu tu wao wakawa wakwanza kuomba mazungumzo.
Wajuzi watuambie, nini wanachopenda kukimbilia kwenye meza ya mazungumzo pindi moto unaporudi upande wao??
Hebu tutoane tongotongo hapa