Wadau tumvike Dully Sykes Mataji Haya

Wadau tumvike Dully Sykes Mataji Haya

dully ..ndiye msanii aliyenifanya haswaaaaa niupende music " .....nilikuwa nikimsikiliza tangu aliposhirikishwa na taqwa..kisha akajakutoa nyimbo ya julieta " Jamaa ana talent sana aisee...

Taqwa yupo wapi asee... mziki bana yani alikuja kutoka abby skills na taqwa akapotea
 
Naupenda ule 'HI' ile video yake ilionekana ya maana sana enzi zile. Jamaa anastahili kuitwa legend maana wenzake kina TID/QCHILLAR hawaeleweki sahivi ila yeye aliyewatangulia bado yuko fiti, halafu jamaa hadi leo ana babyface
 
Anastahili aisee,, ametoka mbali sanaa.. Na bado yupo.

Kipindi hicho cha handsome tigo ilikua yaitwa BUZZ if im not mistaken, kaitaja kwa wimbo huu wa handsom
Hivi buzz na mobtel nani alitangulia
 
Ni wakati sasa Wa Kilimanjaro music awards kuanza kutoa tuzo za life time achievement awards,na tuanzie na duly Sykes, Ali kiba,na wengine wakongwe wapo mpk Leo wanaendekea ku inspire vijana na kusaidia pia
 
Dully ndio mwenye bongo flavor yake.

Sipingi kwa hili

Nyimbo ya "hi" hadi leo sijaisahau nakuimbia kuanzia mwanzo hadi mwisho
 
Back
Top Bottom