Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Aliyeliwa ni yule baunsa wake anaitwa Arafati Ngumijiwe
aaah basi mi nliskia ni dully
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliyeliwa ni yule baunsa wake anaitwa Arafati Ngumijiwe
Hebu tamika kwanza kumbukaa huku nyumbani umeacha watoto, namimi mzazi mwenzako nakufikiria wewe ulipooo rudi nyumbaani, rudi nyumbani tamika kwani watoto wanateseka.....Rudi nyumbani Tamikaa...!! Kwani watoto wanatesekaaa oooh!!! oooh!! nikikumbuka tulikotooka roho yangu inatesekaa aaaah!! aaah!!
Sikutenda haki kuusahau huu wimbo kabisa
Jamaa ana consistence ya hali ya juu, wenzake alioanza nao wengi wamesahaulika but yeye bado yupo anakomaa na madogo. Sema watu hawamchukulii siriaz sana coz nyimbo zake nyingi zimekaa kitotototo
Labda hizo unazoziona za kitoto ndizo zinazomuacha masikioni mwa watu hadi leo....cha muhimu ungehoji hao wanaofanya mziki wa kidingi wamekumbwa na nini mbona kimya ?....wapi kina Mr Paul, Soul n Faith, Nkulila, Madojo, Domo Kaya n.k.
Ila nilisikiaga alikula mke wa mtu akadakwa nayeye akaliwa
yap long kichizi marehemu AC mmewe ndo alimla enzi hizo hakuna wasap wala u tube
weee don tel me ni yule pedeshee ndo alimfumua marinda
huyo dully alishajitoaga mwenyewe kwenye hzo tu kwa sababu zake, so hawezi kuitwa huko
Huu level zingine, hata Video yake ni classic!!
Mkubwa nyimbo za dully hazijakaa kitoto, huenda wewe ndo unamfaham leo. Si tulie toka nae kitambo tunamjua.
Anabadilika kufutana na upepo na soko. Ndo maana yupo mpaka sasa.
Wasichokijua ni kuwa Dully ni mmojawapo wa most underrated entertainer hapa bongo! nyimbo zake ni nzuri zina entertain,funza,consoles!yaani anastahili sifa zaidi ya hapo!