Wadau tumvike Dully Sykes Mataji Haya

Wadau tumvike Dully Sykes Mataji Haya

Rudi nyumbani Tamikaa...!! Kwani watoto wanatesekaaa oooh!!! oooh!! nikikumbuka tulikotooka roho yangu inatesekaa aaaah!! aaah!!

Sikutenda haki kuusahau huu wimbo kabisa
Hebu tamika kwanza kumbukaa huku nyumbani umeacha watoto, namimi mzazi mwenzako nakufikiria wewe ulipooo rudi nyumbaani, rudi nyumbani tamika kwani watoto wanateseka.....
 
Wimbo wa Leah kwangu ndo niliupenda maana ulikuwa na ujumbe unaonigusa.Nakumbuka wakati nipo advance 2009 nilikuwa na demu nilyempenda ila nikaja kupokonywa na Konda wa magari ya Jet Lumo - Kariakoo.

Kila nikiskiliza huo wimbo nilikuwa nikilia aisee hasa nikikumbuka mshua wake alivyonichapaga nikaugua wiki nzima alafu ndemu naye kantosa.

Kwamba siku mmoja alikuwa anatoka shuleni

Siku hiyo njaa ilimtawala

Akotokea dereva wa daladala

Akamwambia Leah Lifti panda mbele

Japo mwanafunzi akae kiti cha mbele

Tena bila malipo ni burebure

Akaanza kumtongoza polepole

Sababu Leah njaa ilimtawala

Akaambiwa atanunuliwa Chipsi, Soda

Ilipofika jioni akanunuliwa

Wakapanga wakutane tena Palepale

Ilipofika Wakakutane palepale

Akapanda daladala hadi usiku

Wakaenda kufanya yao mavitu

Wakaenda kufanya yao mavitu
 
Attachments

Jamaa ana consistence ya hali ya juu, wenzake alioanza nao wengi wamesahaulika but yeye bado yupo anakomaa na madogo. Sema watu hawamchukulii siriaz sana coz nyimbo zake nyingi zimekaa kitotototo

Labda hizo unazoziona za kitoto ndizo zinazomuacha masikioni mwa watu hadi leo....cha muhimu ungehoji hao wanaofanya mziki wa kidingi wamekumbwa na nini mbona kimya ?....wapi kina Mr Paul, Soul n Faith, Nkulila, Madojo, Domo Kaya n.k.
 
hakika
 
huyo dully alishajitoaga mwenyewe kwenye hzo tu kwa sababu zake, so hawezi kuitwa huko
 
Ila kuna kawimbo katoa na maunda Zoro juzi kati kakikuda sana hakafanani na hadhi yake
 
huyo dully alishajitoaga mwenyewe kwenye hzo tu kwa sababu zake, so hawezi kuitwa huko

kipindi kile walizidi upendeleo wa waziwazi
yaani unajua kuna mwak msanii bora wa kike watu wanaita kyln kyln!!!!akapewa rayc nilichukia kweli
 
Huu jamaa acha. Kama kuna mtu ana wimbo wa hostoria ya kweli naumbo. Hili ni bonge la hit kwangu mpaka leo.
 
Asilimia 99.999 waliochangia ktk uzi huu, wamekubali kwamba DULLY SYKES anastahili heshima hiyo.
Ahsanteni.
 
Mkubwa nyimbo za dully hazijakaa kitoto, huenda wewe ndo unamfaham leo. Si tulie toka nae kitambo tunamjua.

Anabadilika kufutana na upepo na soko. Ndo maana yupo mpaka sasa.

Wasichokijua ni kuwa Dully ni mmojawapo wa most underrated entertainer hapa bongo! nyimbo zake ni nzuri zina entertain,funza,consoles!yaani anastahili sifa zaidi ya hapo!
 
Wasichokijua ni kuwa Dully ni mmojawapo wa most underrated entertainer hapa bongo! nyimbo zake ni nzuri zina entertain,funza,consoles!yaani anastahili sifa zaidi ya hapo!

Yeah uko sahihi, watu wanamchukulia kikawaidakawaida hawamchukulii siriaz kama inavyopaswa. Wabongo tunasubiri hadi afe ndo tummwagie masifa yake
 
Back
Top Bottom