Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
anastahili heshima.
penda sana duly mimi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
anastahili heshima.
Mambo uliyoyafanya duniani mengi mema
kuna mabaya na mazuri mengi nimesema
historia ya kweli ilitokea kwa yatima mungu wetu mwema mlaze dada yetu peemaa
dully katambaa na biti ya p mule balaa!..hii ilikua nyimbo ya kwanza ya dully kuipenda kabla ya sikufahamu.
na nyambizi je! eti kipindi kile nyambizi ilikua inaonekana nyimbo ya matusi wakati sasa vijana wanaimba na ku shoot ngono kabisa kweli tumetoka mbali
Wimbo wa SIKUFAHAMU HUNIFAHAMU..ule wimbo ni mzuri kwangu hauwezi kuchuja....na video yake ilikaa njema
Mambo uliyoyafanya duniani mengi mema
kuna mabaya na mazuri mengi nimesema
historia ya kweli ilitokea kwa yatima mungu wetu mwema mlaze dada yetu peemaa
Sure ane dizev hiyo kitu ni wa kipekeee
Ivi huo ndo wa , ...'Salome kaburini kwako naliaa aaa'
kuna hii nyingine alimuimbia binti alryekua anamtaka wakati bado binti yuko masomoni, akawa anamsisitiza asome. Inaitwaje ile, jina limenitoka.
huu sio salome huu unaitwa historia ya kweli anamzungumzia mdada anaitwa sharifa ndo single ya mwanzo ya duly kumfanya atambulike
salome juu ya kaburi lako naliaaa
kilio nakisikiaaa dakika za mwisho mpenzi wangu najutia makosa nlokufanyia
unaimbwa hivi
mi najua wazo lako ni kua na mimi leo mpaka kufaaa usilie
nenda shule kwanza halaf kwa badae mambo ya love yatafata
baby candyy
ewaaa!! Unaitwa baby candy. Thanks.
Em niuchek kwa library yangu.
poa poa
Duly anastahili hii kitu na hakuna mwingine kwa hii game dah !
Siku moja tulikaa na wadau tunahesabu hit song za Duly tukafika 30 huko na hatukamaliza. My best songs ever are:-
Ladies free
Bijou
Dhahabu
Baby candy
Bongo flavour
Leah (wa ukimwi huu)
Historia ya Kweli,
Salome
Nyambizi
Handsome
Dhahabu .
Hizi ni miongoni mwa nyimbo bora za Bongo Flavour Africa Mashariki