Wadau tumvike Dully Sykes Mataji Haya

Wadau tumvike Dully Sykes Mataji Haya

Mambo uliyoyafanya duniani mengi mema
kuna mabaya na mazuri mengi nimesema
historia ya kweli ilitokea kwa yatima mungu wetu mwema mlaze dada yetu peemaa

na nyambizi je! eti kipindi kile nyambizi ilikua inaonekana nyimbo ya matusi wakati sasa vijana wanaimba na ku shoot ngono kabisa kweli tumetoka mbali
 
na nyambizi je! eti kipindi kile nyambizi ilikua inaonekana nyimbo ya matusi wakati sasa vijana wanaimba na ku shoot ngono kabisa kweli tumetoka mbali

UMEONA EEH ULIPIGWA STOP KIPINDI KILE
cheki night kali juzz
nilimtembelea edy taz ktk yake kazi ya ulinzii
hukoooo tangi bovu mbezi
bas tunapiga stori si ndo kapita nyambizzz
kwa mwendo wa mapoziii
 
Wimbo wa SIKUFAHAMU HUNIFAHAMU..ule wimbo ni mzuri kwangu hauwezi kuchuja....na video yake ilikaa njema

yaani i love the song jamani, siuchokagi, kuanzia beat,mashairi na uimbaji, sio siri ule wimbo Duly aliimba
 
Mambo uliyoyafanya duniani mengi mema
kuna mabaya na mazuri mengi nimesema
historia ya kweli ilitokea kwa yatima mungu wetu mwema mlaze dada yetu peemaa

Ivi huo ndo wa , ...'Salome kaburini kwako naliaa aaa'
 
kuna hii nyingine alimuimbia binti alryekua anamtaka wakati bado binti yuko masomoni, akawa anamsisitiza asome. Inaitwaje ile, jina limenitoka.
 
Ivi huo ndo wa , ...'Salome kaburini kwako naliaa aaa'

huu sio salome huu unaitwa historia ya kweli anamzungumzia mdada anaitwa sharifa ndo single ya mwanzo ya duly kumfanya atambulike

salome juu ya kaburi lako naliaaa
kilio nakisikiaaa dakika za mwisho mpenzi wangu najutia makosa nlokufanyia
 
kuna hii nyingine alimuimbia binti alryekua anamtaka wakati bado binti yuko masomoni, akawa anamsisitiza asome. Inaitwaje ile, jina limenitoka.

INAITWA BABY CANDY
mi najua wazo lako ni kua na mimi leo mpaka kufaaa usilie
nenda shule kwanza halaf kwa badae mambo ya love yatafata
baby candyy
 
huu sio salome huu unaitwa historia ya kweli anamzungumzia mdada anaitwa sharifa ndo single ya mwanzo ya duly kumfanya atambulike

salome juu ya kaburi lako naliaaa
kilio nakisikiaaa dakika za mwisho mpenzi wangu najutia makosa nlokufanyia

Thanks....
 
unaimbwa hivi
mi najua wazo lako ni kua na mimi leo mpaka kufaaa usilie
nenda shule kwanza halaf kwa badae mambo ya love yatafata
baby candyy

ewaaa!! Unaitwa baby candy. Thanks.
Em niuchek kwa library yangu.
 
Duly anastahili hii kitu na hakuna mwingine kwa hii game dah !

Siku moja tulikaa na wadau tunahesabu hit song za Duly tukafika 30 huko na hatukamaliza. My best songs ever are:-

Ladies free
Bijou
Dhahabu
Baby candy
Bongo flavour
Leah (wa ukimwi huu)
 
Yaaah jamaa yupo vzur anajua kukazaaa pamoja na pro jay na lady jay dee hawa jamaaa ni noma toka miaka ya tisin mpaka kesho bado majina yao yapo juu na mziki wao upon juu pia all ze best 2 them
 
Duly anastahili hii kitu na hakuna mwingine kwa hii game dah !

Siku moja tulikaa na wadau tunahesabu hit song za Duly tukafika 30 huko na hatukamaliza. My best songs ever are:-

Ladies free
Bijou
Dhahabu
Baby candy
Bongo flavour
Leah (wa ukimwi huu)

oohoo,, niliisahau dhahabu.., mwe mwe mwe...
 
Historia ya Kweli,
Salome
Nyambizi
Handsome
Dhahabu .
Hizi ni miongoni mwa nyimbo bora za Bongo Flavour Africa Mashariki
 
Back
Top Bottom