Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Ahaaa, yote heri. Sadaka na mitungi ni vitu viwili tofauti.We dogo acha kukamatwa akili na akina mwamposa
Kwanini usiseme tupunguze sadaka ili tusaidie wanyonge
Umewahi kuona wapi ombaomba anaenda kuomba kanisani? Always huenda bar ndiko hupata hata mia mbili mbili
🤣😂🤣😂Umewahi kuona wapi ombaomba anaenda kuomba kanisani? Always huenda bar ndiko hupata hata mia mbili mbili
Tatzo sadaka hatutoi kila siku (sio wote lakn)We dogo acha kukamatwa akili na akina mwamposa
Kwanini usiseme tupunguze sadaka ili tusaidie wanyonge
Umewahi kuona wapi ombaomba anaenda kuomba kanisani? Always huenda bar ndiko hupata hata mia mbili mbili
Binadamu ni kati ya viumbe vya hovyo kabisa kuwahi kuishi hapa duniani. Wakati mwingine hua napata mashaka sana kama binadamu kweli ni viumbe wa Mungu!Hali imekuwa ngumu sana maana maisha yamekuwq taight.
Utakuta jirani yako au ndugu yako hana chakula, mavazi hata watoto wake hawana mahitaji ya shule.
Lakini unakwenda baa unazungusha round za kibabe. Mbaya zaidi inakuwa kila siku.
Kwa hiyo kama kwa wiki unatumia laki kwenye pombe basi punguza utumie stini elfu alafu elfu arobaini saidia ndugu na jamaa zako. Nunulia hata watoto wa majirani wasio na uwezo madaftali.
Hiyo pesa utakayowapa kuwasaidia ndio pesa watakayotumia kufunga riziki yakoHali imekuwa ngumu sana maana maisha yamekuwq taight.
Utakuta jirani yako au ndugu yako hana chakula, mavazi hata watoto wake hawana mahitaji ya shule.
Lakini unakwenda baa unazungusha round za kibabe. Mbaya zaidi inakuwa kila siku.
Kwa hiyo kama kwa wiki unatumia laki kwenye pombe basi punguza utumie stini elfu alafu elfu arobaini saidia ndugu na jamaa zako. Nunulia hata watoto wa majirani wasio na uwezo madaftali.
Kivipi?Hiyo pesa utakayowapa kuwasaidia ndio pesa watakayotumia kufunga riziki yako
Watakufanyia mambo ya kiswahiliKivipi?
Hakuna watoa misaada kama walevi kama haujui Hilo ndio ujue Sasa ..... Nyie mnajuaga kuvaaa na kununua migari tu kuonyesha ufahari mlevi Hana ratiba hizo .... Mi nimeshuhudia kabisa hivi amekunja kanisani baada ya Misa msoma matangazo akasoma kuna mama anashida yupo hapo nje mwenye chochote wapite wamsaidie.Ahaaa, yote heri. Sadaka na mitungi ni vitu viwili tofauti.