Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
mkuu haya mambo hayataki kubahatisha lazma upime kwanza na upate dozi sahihi.Nina week sasa mashine inawasha na inatoa uchafu kama usahaa hasa asubuhi
Nimetumia dawa hizi bila mafanikio
Cefixime 400
Azuma 1g
Hali ikaendelea nimechoma powercef 5 na doxy bado sijapona
Hapa nasubiria majibu ya culture naona yanachelewa msaada kama kuna dawa yoyote ya kienyeji hali ni tete shemej yenu anarud siku mbili hizi na anadai amenimiss sana hapa nachomokaje wazee
unaweza kukuta hizo dawa za kwanza ndo zingekufaa ila zimedunda saabu umepata dozi ndogo labda. si unajua hata dawa moja inakuwa na ujazo tofautitofauti (zile grams 100/200/250/500) sasa ili upone swsw ni lazma upate dawa yenye ujazo staili kulingana na shida yenyewe ulonayo.
usione aibu fika hospitali na uwe muwazi kwa dokta. usibet na afya. pia kuwa makini na kula pisi. kila lakheri.