Wadau ukiacha HIV, tujuzane dawa kiboko za kutibu magonjwa ya zinaa

mkuu haya mambo hayataki kubahatisha lazma upime kwanza na upate dozi sahihi.

unaweza kukuta hizo dawa za kwanza ndo zingekufaa ila zimedunda saabu umepata dozi ndogo labda. si unajua hata dawa moja inakuwa na ujazo tofautitofauti (zile grams 100/200/250/500) sasa ili upone swsw ni lazma upate dawa yenye ujazo staili kulingana na shida yenyewe ulonayo.

usione aibu fika hospitali na uwe muwazi kwa dokta. usibet na afya. pia kuwa makini na kula pisi. kila lakheri.
 
asante ila dawa zote hizo nimepewa hospital zimedunda
 
Clavum 650g na Doxy. Hakikisha unakula ugali ½kg na maharage ½kg na maji 2ltrs
 
Comment readers Association tujuane tafadhali..
 
Dawa ni kumuona daktari kwanza mengine yatafuata, kingine tuache ngono jmn hali ni mbaya sana mtaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…