Wadau ukienda choo cha ugenini kabla hujajisaidia hakikisha kama kuna maji ndio uchuchumae

😂😂😂 Mchongo😂😂
 
Nakubaliana na wewe mkuu

Lazima mwenyeji ahakikishe kila kitu kipo sawa kabla mgeni hajaenda washroom
 
Pole sana. siku ingine uwe unaweka kupande cha toilet paper mfukoni kama vile unavyoweka henka. Ungejifuta vizuri tu na kuvaa na kuenda kuomba maji. Halafu hakuna sabuni unajifuta na maji. saa ingine harufu haitoki mkononi hili unalijua? Huwa mnafanyaje juu ya hili? Maana inategemea chakula ulichokula.
 
Noorah aka Baba styles alishazungumzia kwenye vijimambo so hakuna jipya.....ila asante kurudia story.
 
Nyumba ya hovyo hovyo wanawezaje kuacha choo bila mmaa
 
Ndio maana ikitokea ukanisachi mfukoni, mbali na fedha na simu, lazima utakutana na kipande kirefu cha toilet paper.

Yalishawahi kunikuta ndio maana siachi kutembea na kipande cha karatasi hizo za chooni.
 
Pole sana mkuu, kilichobaki sasa ukawa unatafuta namna ya kuwathibitishia ni kwa nini ulimwita binti wao.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my cupboard using mug
 
Nacho hicho choo kilikuwa na cha uswahilini ndani ndani sana!

Choo cha kistaarabu kitakosaje 'rola' ya toilet paper ambayo ndiyo ingelikuwa huduma ya kwanza na msaada wako wa kuanzia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…