Pole sana mkuu, kilichobaki sasa ukawa unatafuta namna ya kuwathibitishia ni kwa nini ulimwita binti wao.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my cupboard using mug
na kwel.kama kwel walikua mazingir flan alipaswa aende kuhakikisha maji yapo? kama hakuna afungulie mana yeye anajua mazingira ya kwao.kwanza ni uchafu mbaya hata kwa haja ndogo ni lazima utumie maji kuflash kama huwa huchambi unatembea na mikojo yako.so hiuo dada kafeli vigezoHuyo bint tayari hafai kuwa mke. Yaani alijua unaenda chooni na wala hakuhangaika kujua kama kuna maji au hamna.
Keshajishusha na elimu yake bado haijamsaidia.
yes kama wewe mwenyej unajal usaf lazima ulipaswa ili kujua mgen wako nae ni nadhifu ama mchafu maji yawepo.sisi wengine kwanza nikiigia choon kwako lazima niflash nimwage sabun.yan mazingir lazima yawe safKabla ya kuanglia wew kma maji yapo ilitakiwa mwenyeji wako haakikishe ndo akuruhusu kwenda msalan..!! Binafs siwez kuruhus mgen kwend msalani kabla sijaanglia kma kuna maji au lah. Polee kwa masahibu yaliyokukuta.
nachukia sana kukuta mav ya mtu.kwanz sehem nyingine unakuta maj ya kumwaga tu.mtu ankunya anaacha mavi yaan huwa nashangaa how come unaacha mama vi yako ya mtoto tu inataka moyo seuze ya mtu mzima.mtu aliye kulia mazingira ya kuacha mav hata akute maji yapo full huwa hajitune kusema saw home cha shimo na maj shida ila hapa wenyewe wanaflash tu yapo ya kumwaga.Kuna mmoja nilikua naishi nae nyumba moja ya kupanga hivyo tuli share choo, jamaa ana umri si chini ya miaka 40 na alihamishiwa kikazi huo mkoa akitokea mara huko.
Bwana yule alikua akiingia chooni haflash yaani anaacha mchongo unaelea tu, ukiingia ni kinyaa cha hatari.
likely. haiwezekan kuacha choo bila maji.mawil yatatokea.Nyumba ya hovyo hovyo wanawezaje kuacha choo bila mmaa
Tuko wengi Yani mgeni akiniuliza tu washroom ni wapi naenda kuchek Kwanza ndo namkaribisha.Wengine tuna watoto unakuta mtoto aliingia huko kafanya yake inabidi uangalie ustaarabu Kwanza.Kabla ya kuanglia wew kma maji yapo ilitakiwa mwenyeji wako haakikishe ndo akuruhusu kwenda msalan..!! Binafs siwez kuruhus mgen kwend msalani kabla sijaanglia kma kuna maji au lah. Polee kwa masahibu yaliyokukuta.
miim huwa nashindwa hata kupata haja ugenin.nateseka sana labda niwe nimepazoea.ndio mana hata iweje lazima nifikie lodge kwa ndugu naenda kusalimia jion narud lodge yang saf rum za mikoan wala sio bei mbaya na unakuta lodge kali kabisa full tv self chai toilet saf 25.ya nin upate shidaSiwezi kwenda chooni nikiwa ugenini! Na ikiwa nitalala hapo basi chooni nitaingia usiku..
nachukia sana kukuta mav ya mtu.kwanz sehem nyingine unakuta maj ya kumwaga tu.mtu ankunya anaacha mavi yaan huwa nashangaa how come unaacha mama vi yako ya mtoto tu inataka moyo seuze ya mtu mzima.mtu aliye kulia mazingira ya kuacha mav hata akute maji yapo full huwa hajitune kusema saw home cha shimo na maj shida ila hapa wenyewe wanaflash tu yapo ya kumwaga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anaalika mgeni halafu anakupa chakula bila sahani halafu katulia tuu Hadi useme HAKUNA sahaniiii!Binti kosa lake lipo wapi hapo?
Aliyealika wageni NI yeye hivyo lazima aagalie mazingira wanayofikia wageni Kama yako sawa siyo wageni ndio wamwabie MAJI HAKUNAAAAA!Binti hajahakiki kama maji yapo na kuna uwezekano siyo yeye anayefanya usafi wa nyumba.
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wadau naandika nikiwa katika hali ya huzuni.
Kuna binti mmoja ambaye kiuhalisia namkubali sana, ni mzuri, msomi na mtu wa dini sana. Last week alinialika kwao nikamsalimie Mama yake kwasababu kidogo alikuwa na mgogoro kiafya. Nami kwa kuwa nataka palilia uhusiano nikaona nisikose kufanya tembezi hilo la mshikamano.
Ghafla tumboni kulitokea hali ya kutokuwa na maelewano, ubishani ukawa mkubwa nikalazimika kwenda msalani kutafuta usuluhishi, niliharisha sana.
Nlipomaliza nikataka sasa kujiswafi, ndio kugundua maji hamna. Hayatoki hata kutaka kuflash ikawa ngumu pia. Hamna maji, jasho likaanza nitoka.
Nilikaa kama dakika 20 nikitafakari na kufanya maombi maji yatoke na mara nikasikia mtu anazungusha kitasa, nikakohoa kidogo kuonesha kuna mtu.
Hali ilipozidi nikakumbuka kuwa choo kipo mwisho kabisa wa korido na sebuleni kunaonekana, nikainuka huku nimeshikilia suruali kwenda chungulia kama yule Dada anaweza niona ili nimwite. Nimesubiri sana nikichungulia mara nikamwona ameinuka hapo nikafanya ishara kumwita.
Dah! maskini, wakati namkonyeza na Kaka yake baunsa akawa anaingia. Akaona nipo chooni nachungulia huku nafanya ishara ya kumwita Dada yake. Jamaa alinitizama kwa mshangao sana. Yaani nikaona kabisa kama amekuwa mwekundu kwa ghadhabu.
Najua alihisi namwita dada yake nikamkamulie chooni. Daah nami ule mshtuko nikajikuta namwamkia but hakuwa wa kuamkiwa kabisa na Mimi nikaropoka "Chooni Hakuna Maji" jamaa akaingia room kwake.
Mimi hali yangu mbaya maana harufu imekuja hadi koridoni, ikabidi tu nimwite bintI akaja nikamweleza. Akaenda fungulia tanki maji yakaja nikafanya usafi.
Nilipoteza amani kabisa, ni jambo ambalo limenifedhehesha sana. Sielewi waliongea nini after my departure maana ile ilikuwa ni dhahama kwangu.
Wadau ukienda choo cha ugenini kabla hujajisaidia hakikisha kama kuna maji, hakikisha sana ndio uchuchumae ushushe mzigo.