Wadau ukienda choo cha ugenini kabla hujajisaidia hakikisha kama kuna maji ndio uchuchumae

Hapo ndo ulikuwa mtihani hasa kwa bro wake maana ndo aliingia home anakuta namwita dada yake kwa mikono huku nachungulia from toilet.nadhani mwamba akadhani namwita sister ake nika mgongee toilet maana mama yake alikuwa mtu wa kushinda tu sebuleni au chumban.


Pole sana mkuu, kilichobaki sasa ukawa unatafuta namna ya kuwathibitishia ni kwa nini ulimwita binti wao.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my cupboard using mug
 
Siwezi kwenda chooni nikiwa ugenini! Na ikiwa nitalala hapo basi chooni nitaingia usiku..
 
Huyo bint tayari hafai kuwa mke. Yaani alijua unaenda chooni na wala hakuhangaika kujua kama kuna maji au hamna.

Keshajishusha na elimu yake bado haijamsaidia.
na kwel.kama kwel walikua mazingir flan alipaswa aende kuhakikisha maji yapo? kama hakuna afungulie mana yeye anajua mazingira ya kwao.kwanza ni uchafu mbaya hata kwa haja ndogo ni lazima utumie maji kuflash kama huwa huchambi unatembea na mikojo yako.so hiuo dada kafeli vigezo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabla ya kuanglia wew kma maji yapo ilitakiwa mwenyeji wako haakikishe ndo akuruhusu kwenda msalan..!! Binafs siwez kuruhus mgen kwend msalani kabla sijaanglia kma kuna maji au lah. Polee kwa masahibu yaliyokukuta.
yes kama wewe mwenyej unajal usaf lazima ulipaswa ili kujua mgen wako nae ni nadhifu ama mchafu maji yawepo.sisi wengine kwanza nikiigia choon kwako lazima niflash nimwage sabun.yan mazingir lazima yawe saf

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nachukia sana kukuta mav ya mtu.kwanz sehem nyingine unakuta maj ya kumwaga tu.mtu ankunya anaacha mavi yaan huwa nashangaa how come unaacha mama vi yako ya mtoto tu inataka moyo seuze ya mtu mzima.mtu aliye kulia mazingira ya kuacha mav hata akute maji yapo full huwa hajitune kusema saw home cha shimo na maj shida ila hapa wenyewe wanaflash tu yapo ya kumwaga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabla ya kuanglia wew kma maji yapo ilitakiwa mwenyeji wako haakikishe ndo akuruhusu kwenda msalan..!! Binafs siwez kuruhus mgen kwend msalani kabla sijaanglia kma kuna maji au lah. Polee kwa masahibu yaliyokukuta.
Tuko wengi Yani mgeni akiniuliza tu washroom ni wapi naenda kuchek Kwanza ndo namkaribisha.Wengine tuna watoto unakuta mtoto aliingia huko kafanya yake inabidi uangalie ustaarabu Kwanza.
 
Siwezi kwenda chooni nikiwa ugenini! Na ikiwa nitalala hapo basi chooni nitaingia usiku..
miim huwa nashindwa hata kupata haja ugenin.nateseka sana labda niwe nimepazoea.ndio mana hata iweje lazima nifikie lodge kwa ndugu naenda kusalimia jion narud lodge yang saf rum za mikoan wala sio bei mbaya na unakuta lodge kali kabisa full tv self chai toilet saf 25.ya nin upate shida

Sent using Jamii Forums mobile app
 

ni kweli aisee[emoji23] mazingira watu wanapotoka huwaharibu
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…