Wadau ushauri

Wadau ushauri

[6/17, 17:32] Steven Simon Lyimo: Najiuliza samahani naomba unisaidie:

Kuna mwanamke ambae nilioa nikaachana nae kurokana na tabia yake ya umalaya.

Mimi nimekuwa ktk malezi mazuri ya kidini, niliridhika kwa asilimia zote kwamba nimepata wangu kumbe niliingia ktk mwanamke ambae sijui kilimpata nini. Tumeishi miaka 9 lakini cha kushangaza amekuja kuondoka bila sababu maalum ya kueleweka, akaficha na sehemu alipofikia kwa miezi mitano nimekuja kujua alipo nikamkuta ana kitanda godoro, na vitu vingine anadai amenunua vya kwake na hakutoa maelezo ya kutosha kuhusu ununuzi huo.

Nilimwacha mpaka leo.
Shida sasa nampenda hadi jina lake.

Nimechoka kuvumilia nimebembeleza sana mpaka Sasa miezi sita ila haeleweki, mpaka simu kafunga hapatikani nahisi ana namba nyingine ambayo sina anatumia. Wazo nililonalo nitafute mwanamke kama yeye mwenye jina kama lake. Sasa

1.Je atakubali kulea watoto wangu wawili?
2.Je atakubali vipi kuolewa nami na mimi nilishawahi kuoa?
3. Je nitamsahau mkewangu ambae huwa namkumbuka kila siku na najitahidi kutompenda nashindwa?
4. Je akitaka kurudi mkewangu nitaweza kumkana na kumkataa?
5 Ni njia gani sahihi zaidi natakiwa niifanye ili nimwache kabisa bila kuumia kila siku?
Naomba msaada wako kwani sikuwa na tegemeo la kuwa na mwanamke wa namna hii mpaka natamani labda asingenizalia watoto pengine ingekuwa nafuu kwani sitaki hata kuja kuonana nae eti kwenye sherehe ya mwanetu, kikao au jambo lolote.
[6/17, 17:34] Steven Simon Lyimo: Pia nina upendo wa dhati sana kwa mwanamke nikimpenda mwanamke nampenda kweli
Kabla ya kufanyia kazi hayo mapendekezo yako,ACHANA NA HUYO ALIYEKUWA MKE WAKO.
LEA WATOTO WAKO KTK HALI AMBAYO ITAWAFANYA WAWE NI IMANI KUBWA SANA NA WEWE,KUSIWEPO MAHANGAIKO HATA CHEMBE.

Baadae oa mke yeyote atakaye kufaa na umuambie kabisa ya kwamba una watoto kabla ya kumtia kibindoni.
Usionekane km una uhitaji wa lazima kwa mwanamke,akubali=akatae kwako safi tu.
 
Mkuu huyo manzi aliondoka na akili yako?Maana inaonyesha unawaza Kwa kutumia mat*ko,unapenda jina la manzi Ili iweje?
 
Sasa wewe mpaka unabembeleza hivyo, kwanini kwanza usijisumbue kujua nini hasa kilichomkimbiza kwako? Yaani mpaka kaamua kulala juu ya kigodoro kwenye kachumba tu na kwako kaacha kila kitu?[emoji848] There must be something big with you that has been upsetting her all that time na amevumilia miaka yote hiyo lakini hakuona mabadiriko yoyote juu yako. Jichunguze bro
Itakuwa mwanaume amezidi ulokole huyu

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
[6/17, 17:32] Steven Simon Lyimo: Najiuliza samahani naomba unisaidie:

Kuna mwanamke ambae nilioa nikaachana nae kurokana na tabia yake ya umalaya.

Mimi nimekuwa ktk malezi mazuri ya kidini, niliridhika kwa asilimia zote kwamba nimepata wangu kumbe niliingia ktk mwanamke ambae sijui kilimpata nini. Tumeishi miaka 9 lakini cha kushangaza amekuja kuondoka bila sababu maalum ya kueleweka, akaficha na sehemu alipofikia kwa miezi mitano nimekuja kujua alipo nikamkuta ana kitanda godoro, na vitu vingine anadai amenunua vya kwake na hakutoa maelezo ya kutosha kuhusu ununuzi huo.

Nilimwacha mpaka leo.
Shida sasa nampenda hadi jina lake.

Nimechoka kuvumilia nimebembeleza sana mpaka Sasa miezi sita ila haeleweki, mpaka simu kafunga hapatikani nahisi ana namba nyingine ambayo sina anatumia. Wazo nililonalo nitafute mwanamke kama yeye mwenye jina kama lake. Sasa

1.Je atakubali kulea watoto wangu wawili?
2.Je atakubali vipi kuolewa nami na mimi nilishawahi kuoa?
3. Je nitamsahau mkewangu ambae huwa namkumbuka kila siku na najitahidi kutompenda nashindwa?
4. Je akitaka kurudi mkewangu nitaweza kumkana na kumkataa?
5 Ni njia gani sahihi zaidi natakiwa niifanye ili nimwache kabisa bila kuumia kila siku?
Naomba msaada wako kwani sikuwa na tegemeo la kuwa na mwanamke wa namna hii mpaka natamani labda asingenizalia watoto pengine ingekuwa nafuu kwani sitaki hata kuja kuonana nae eti kwenye sherehe ya mwanetu, kikao au jambo lolote.
[6/17, 17:34] Steven Simon Lyimo: Pia nina upendo wa dhati sana kwa mwanamke nikimpenda mwanamke nampenda kweli
Lymo pole sana we kausha tu huyo mwanamke ameshakuchoka,ni heri akapange chumba na godoro bila kitanda kuliko kukaa na wewe,kwa sababu anazijua yeye labda kapata bwana anamrubuni,
 
We are very open in our relationship and we mean what We talk bro.😊
Bro unamaanisha mko kwenye open relationship?
Maana open relationship si maana yake yeyote akija katikati yenu fresh?
 
Hiyo sio maana ya open relationship bro, maana yake Ni;
  • Don't break each other's trust
  • Respect each other's bounderies
  • Be honest to each other
  • Be patient
And on top of all SAFE SEX IS MANDATORY
Najua jibu unalo sasa kama huruhusiwi hata kuweka pua au kunusa tu harufu ya mwanamke wangu kipenzi Lovie Lady
 
An open relationship is a type of consensual and non-monogamous relationship. In this type of romantic relationship, partners aren't exclusively dating one another. The key to successful open relationships is that both partners agree to have other romantic or sexual partners and are honest about it.1

From Google definition of open relationship.
 
[6/17, 17:32] Steven Simon Lyimo: Najiuliza samahani naomba unisaidie:

Kuna mwanamke ambae nilioa nikaachana nae kurokana na tabia yake ya umalaya.

Mimi nimekuwa ktk malezi mazuri ya kidini, niliridhika kwa asilimia zote kwamba nimepata wangu kumbe niliingia ktk mwanamke ambae sijui kilimpata nini. Tumeishi miaka 9 lakini cha kushangaza amekuja kuondoka bila sababu maalum ya kueleweka, akaficha na sehemu alipofikia kwa miezi mitano nimekuja kujua alipo nikamkuta ana kitanda godoro, na vitu vingine anadai amenunua vya kwake na hakutoa maelezo ya kutosha kuhusu ununuzi huo.

Nilimwacha mpaka leo.
Shida sasa nampenda hadi jina lake.

Nimechoka kuvumilia nimebembeleza sana mpaka Sasa miezi sita ila haeleweki, mpaka simu kafunga hapatikani nahisi ana namba nyingine ambayo sina anatumia. Wazo nililonalo nitafute mwanamke kama yeye mwenye jina kama lake. Sasa

1.Je atakubali kulea watoto wangu wawili?
2.Je atakubali vipi kuolewa nami na mimi nilishawahi kuoa?
3. Je nitamsahau mkewangu ambae huwa namkumbuka kila siku na najitahidi kutompenda nashindwa?
4. Je akitaka kurudi mkewangu nitaweza kumkana na kumkataa?
5 Ni njia gani sahihi zaidi natakiwa niifanye ili nimwache kabisa bila kuumia kila siku?
Naomba msaada wako kwani sikuwa na tegemeo la kuwa na mwanamke wa namna hii mpaka natamani labda asingenizalia watoto pengine ingekuwa nafuu kwani sitaki hata kuja kuonana nae eti kwenye sherehe ya mwanetu, kikao au jambo lolote.
[6/17, 17:34] Steven Simon Lyimo: Pia nina upendo wa dhati sana kwa mwanamke nikimpenda mwanamke nampenda kweli
Hili ni tukio la kweli au Tamthiria??
 
An open relationship is a type of consensual and non-monogamous relationship. In this type of romantic relationship, partners aren't exclusively dating one another. The key to successful open relationships is that both partners agree to have other romantic or sexual partners and are honest about it.1

From Google definition of open relationship.
All I said have been characterized in that definition bro.
 
Usipate shida,
Acha kulia lia....
Billionaire katengeneza mademu wa kali zaidi ya huyo wako,
Nenda kaweke order yako akufinyangie mrembo mwenye sura na kishundu kama wako, afu j8na utamwita hilo hilo
 
Kwani alikutoa bikra?! [emoji1787][emoji1787]
Acha ubwege songa mbele km injili
 
Ok bro but nahisi kaukakasi. So akiwa na sexual partners wengine akawa honest about it, uko tayari kwa hili?
Kuna magonjwa ujue
Mkuu nilitaka kupima tu uwelewa wako, na nini hasa ungeongea juu ya sweetheart wangu Lovie Lady kiufupi uko vizuri kwenye maswala ya relationship. All in all mimi na Lovie tuna mengi ya kushare maishani mwetu na kuunda familia itakayompendeza Mungu.
 
Back
Top Bottom