Wadau wa Cryptocurrency njooni tushauriane coins za kununua!

Lavit

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
16,480
Reaction score
38,367
Nafahamu Jf ni jukwaa kubwa lenye wadau wa kila aina! Hivyo basi kupata wadau wanaojihusisha na hizi coins either kutrade au kuhold itakuwa si jambo la ajabu.

Kwa upande wangu nimeanza kutengeneza portfolio kwa ajiri ya long term investment(miaka 15 mpka 20), lengo ni kufikisha usd 2000 mpka 5000, alafu nistop niziache!

Mpaka sasa nshanunua BTC, solana, xlm, xrp, arpa na eth! Unaweza ukanishauri coin ipi ya kuongeza au kupunguza.

Natanguliza shukrani!
IMG_3768.png
 
Kwa sasa weka pesa zako USDT kama mtu wakusafiri no trans ada .Hizo zengine usubiri ije kukua inaitaji uvumilivu wa alikiba
 
Ni kweli ndo maana nataka kujipa mpaka 15 yrs!
 
Nenda binance kuna mambo ya kuwekeza utapata mengi

Niko kule mkuu, sema kila mtu anaongea lake unaweza changanyikiwa! Maana inadaiwa kuna wengine wanalipwa ili kupromote coin!
 
Sio coin ni njia za kuwekeza kama UTT
 
Manta inazingua,

Ilianzia juu ila sasa hvi inakabia chini( kupaki basi).

Sioni ikifunguka
 
Kuna simple gain una % kila siku, nshaziweka huko.. maybe kama kuna namna nyingine!
Elimu ni kubwa ila weka USDT kama account sababu ndio stable coin leo dola ikipanda unafaida ukilinganisha na account ya benk USD lazima wakate makato na kukunyonya.
 
Shukrani mkuu!
 
Yan umenifungua macho itabidi hela zote nihamishie usdt, bank hakuna faida yeyote napata, wameshikilia tu hela bure!
 
Nimekukosea nini mimi mmiliki wa benki hadi unifukuzie wateja Mkuu?
Elimu ni kubwa ila weka USDT kama account sababu ndio stable coin leo dola ikipanda unafaida ukilinganisha na account ya benk USD lazima wakate makato na kukunyonya.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Back
Top Bottom