Nenda binance kuna mambo ya kuwekeza utapata mengiNi kweli ndo maana nataka kujipa mpaka 15 yrs!
Sio coin ni njia za kuwekeza kama UTTNiko kule mkuu, sema kila mtu anaongea lake unaweza changanyikiwa! Maana inadaiwa kuna wengine wanalipwa ili kupromote coin!
Elimu ni kubwa ila weka USDT kama account sababu ndio stable coin leo dola ikipanda unafaida ukilinganisha na account ya benk USD lazima wakate makato na kukunyonya.Kuna simple gain una % kila siku, nshaziweka huko.. maybe kama kuna namna nyingine!
Elimu ni kubwa ila weka USDT kama account sababu ndio stable coin leo dola ikipanda unafaida ukilinganisha na account ya benk USD lazima wakate makato na kukunyonya.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.Elimu ni kubwa ila weka USDT kama account sababu ndio stable coin leo dola ikipanda unafaida ukilinganisha na account ya benk USD lazima wakate makato na kukunyonya.
Pesa yangu hipo kwenye adress 😄 ambayo uwezi kushawishia na CCm kufunga account yanguNimekukosea nini mimi mmiliki wa benki hadi unifukuzie wateja Mkuu?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.