Wadau wa Cryptocurrency njooni tushauriane coins za kununua!

Mm nisha acha ku buy coin uwa nasubili kuion mpya ikitoka nawekeza kule lauchpol au upande wa Earn kuna low risk na high yield inategemea una pesa kiasi gani . Kama unatumia binance utanielewa
 
Wananunua wenye fedha zao mkuu, Kakamiye pangu pakavu tia mchuzi napata wapi hata pa kuanzia?

Yule tajiri wako yuko wapi aje atutoe hapa?
Mkuu acha zako aisee, za ndani portfolio yako ime nona kama mbuzi wa tabora,

dah ulivyo mtaja tajiri lugano, ime bidi nicheke Sana.

Maana atakuja kusema kuwa yeye ndiyo kawapa newyork stock exchange lile jengo, ili wafanyie shughuli zao๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.
 
Jengo tu?

Kawapa mtaji kabisa wa kuanzia kwa lunch money yake ya siku moja tu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Katika hii portifolio yako coins ambazo zina future ya kuongezeka thamani ni hizi XRP na XLM, Solana ,Ethereum. Kama una access ya kukopa kwa ajili ya longterm investment kakope na ununue XRP ndani ya miaka michache utakuwa billionaire. Iko hivi global financial system itacollapse na XRP, XLM, Etherium Solana, BTC ndiyo zitakuwa mbadala but XRP na XLM zitakuwa na usability kubwa sana kwa ajili ya crossborder payments na other payments types. Nikukumbushe tu hii portfolio yako weka kwenye cold wallet na sio hot wallets exchanges. XRP, XLM zitakapopanda thamani itakuwa tunakumbushana humu JF kuwa tulisema wewe ni kati ya watu wachache sana ambao mnajiandao na yajayo duniani
 

Mkuu shukrani sana, umeniongezea ufahamu!
 
I hope unaendelea vyema kuaccumulate cryptos kwenye portfolio yako ongeza sana solana narudia tena ongeza sana solana ahsante kizuri huwa nashare na watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ