high IQ man
Member
- Nov 4, 2021
- 59
- 69
Nini maoni yako wewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wqnahofia usajili wa YangaHizi nondo wa kuzijibu anatakiwa avae mabomu kabisa ili akishindwa awashe moto.
ngoja tuone kama kutakua na ufafanuzi zaidiHizi nondo wa kuzijibu anatakiwa avae mabomu kabisa ili akishindwa awashe moto.
Wewe nawe ndio umepuyanga kabisa CAF wana system yao tofauti kabisa na system ya TFF. na wenye wajibu wa kuingiza majina ya wachezaji na namba za jezi watakazovaa ni vilabu husika. CAF walitenga deadline ya usajili wa wachezaji watakaotumika katika michuano ya kimataifa ambayo ilikuwa ni August 15 ila timu inaweza kuchelewa kuwasilisha majina ya wachezaji mpaka tarehe 31 August ila kwa faini. TFF katika CAF wanahusika tu kuwasilisha majina ya timu zinazoshiriki michuano ya kimataifa na sio habari za wachezajiYanga kweli uelewa mdogo umeambiwa majina yalishatumwa Caf ya wachezaji wa team husika zinazoshiriki champions league tifua tifua hawana uwezo wa kubadilisha ndani ya siku moja kama mlivyotaka nyinyi.
duuh mjadala mzito sanaWewe nawe ndio umepuyanga kabisa CAF wana system yao tofauti kabisa na system ya TFF. na wenye wajibu wa kuingiza majina ya wachezaji na namba za jezi watakazovaa ni vilabu husika. CAF walitenga deadline ya usajili wa wachezaji watakaotumika katika michuano ya kimataifa ambayo ilikuwa ni August 15 ila timu inaweza kuchelewa kuwasilisha majina ya wachezaji mpaka tarehe 31 August ila kwa faini. TFF katika CAF wanahusika tu kuwasilisha majina ya timu zinazoshiriki michuano ya kimataifa na sio habari za wachezaji
Jamaa anatupiga kamba. Kulikuwa na dirisha la usajili la aina mbili dirisha la CAF na la TFF. Kama ingekuwa CAF na TFF wanategemeana katika usajili basi CAF wasingefungua pazia lao la usajili bali wangekuwa wana share taarifa kutoka kwa mashirika wanachama wao kama vile TFF.duuh mjadala mzito sana
Huu ni zaidi ya uhuni anaofanya Haji Manara🤣🤣🤣 kwa TffTff ni mavi tena ya Bata kabisa wanajua uhuni unaofanyika Ila wanajitoa ufahamu tu
Sie tunataka acheze ligi ya ndani basiYanga kweli uelewa mdogo umeambiwa majina yalishatumwa Caf ya wachezaji wa team husika zinazoshiriki champions league tifua tifua hawana uwezo wa kubadilisha ndani ya siku moja kama mlivyotaka nyinyi.
Sawa, tuchukulie CAF wanaweza kupokea majina mpaka trh 31 August. Turud kwenye hoja ya Kisinda, Yanga na TFF.Wewe nawe ndio umepuyanga kabisa CAF wana system yao tofauti kabisa na system ya TFF. na wenye wajibu wa kuingiza majina ya wachezaji na namba za jezi watakazovaa ni vilabu husika. CAF walitenga deadline ya usajili wa wachezaji watakaotumika katika michuano ya kimataifa ambayo ilikuwa ni August 15 ila timu inaweza kuchelewa kuwasilisha majina ya wachezaji mpaka tarehe 31 August ila kwa faini. TFF katika CAF wanahusika tu kuwasilisha majina ya timu zinazoshiriki michuano ya kimataifa na sio habari za wachezaji
Ebu msome Tena labda hujamwelewa.Sawa, tuchukulie CAF wanaweza kupokea majina mpaka trh 31 August. Turud kwenye hoja ya Kisinda, Yanga na TFF.
Kisinda amesajiliwa na Yanga tarehe ngapi na saa ngapi?
Ni vitu gani ambavyo TFF wanapaswa kuambatinisha kama vithibisho ambavyo vinahitajika na CAF?
Jambo lingine, Je TFF walikuwa na hivyo kabla ya September 1?
Haya tuambie hyo tofauti ili na sisi tujue iliyopo kwa Caf na tff maana hyo ilikuwa zamani ikabidi wa adjust ili iwe sawa kwasababu ya changamoto kama hizo wewe unasema Caf ni tofauti na tff viongozi wa yanga ni vilaza sana toka walivyokosea kufanya substitution siwaamini tena.Wewe nawe ndio umepuyanga kabisa CAF wana system yao tofauti kabisa na system ya TFF. na wenye wajibu wa kuingiza majina ya wachezaji na namba za jezi watakazovaa ni vilabu husika. CAF walitenga deadline ya usajili wa wachezaji watakaotumika katika michuano ya kimataifa ambayo ilikuwa ni August 15 ila timu inaweza kuchelewa kuwasilisha majina ya wachezaji mpaka tarehe 31 August ila kwa faini. TFF katika CAF wanahusika tu kuwasilisha majina ya timu zinazoshiriki michuano ya kimataifa na sio habari za wachezaji
Inaonekana hata kinachoongelewa hukielewi kabisa ndo maana unaandika magazeti elewa mada kwanza hyo deadline ya wachezaji na TFF ni nje ya mada suala ni je huo mda aliosajiliwa kinyambe inawezekana kukamilisha taarifa zake huko caf ili waweze kumtumia wakati majina 12 ya team zote zinashoriki Caf champions league yameshapelekwa na kujazwa kwenye mfumo .Jamaa anatupiga kamba. Kulikuwa na dirisha la usajili la aina mbili dirisha la CAF na la TFF. Kama ingekuwa CAF na TFF wanategemeana katika usajili basi CAF wasingefungua pazia lao la usajili bali wangekuwa wana share taarifa kutoka kwa mashirika wanachama wao kama vile TFF.
Dirisha la CAF system ni ya wao wenyewe CAF ila wanachofanya CAF ni kutuma link na password kwa mashirika wanachama ambao watakaoshiriki mashindano ya kimataifa ili waweze kuwapa timu zao zinazoshiriki michuano wajaze taarifa za kila mchezaji atakayetumika katika mashindano ya kimataifa
Mkuu hao hawawezi kukuelewa hata uwaambie vipi maana nguruwe pori kashawapiga kamba tayari.Hiyo aya ya mwisho ndio majibu yenyewe.
kyombo hajaondoshwa kwenye dirisha la usajili, timu amebadirishwa timu tu. (Kama alikuwa amekamilisha)
Kahata na perfect madirisha yalikuwa tofauti. Mmoja alimkuta mwenzake hivyo kanuni ya dirisha moja haifanyi kazi.
yanga wangeweza muhamishia timu yingine Mmoja wa wachezaji wake wakigeni ili kisinda aingie na sio kukata usajili