Wadau wa football tujadili kidogo

Wadau wa football tujadili kidogo

high IQ man

Member
Joined
Nov 4, 2021
Posts
59
Reaction score
69
Nini maoni yako wewe?

1662397364148.jpg
 
Yanga kweli uelewa mdogo umeambiwa majina yalishatumwa Caf ya wachezaji wa team husika zinazoshiriki champions league tifua tifua hawana uwezo wa kubadilisha ndani ya siku moja kama mlivyotaka nyinyi.
 
Wewe nawe ndio umepuyanga kabisa CAF wana system yao tofauti kabisa na system ya TFF. na wenye wajibu wa kuingiza majina ya wachezaji na namba za jezi watakazovaa ni vilabu husika. CAF walitenga deadline ya usajili wa wachezaji watakaotumika katika michuano ya kimataifa ambayo ilikuwa ni August 15 ila timu inaweza kuchelewa kuwasilisha majina ya wachezaji mpaka tarehe 31 August ila kwa faini. TFF katika CAF wanahusika tu kuwasilisha majina ya timu zinazoshiriki michuano ya kimataifa na sio habari za wachezaji
 
duuh mjadala mzito sana
 
duuh mjadala mzito sana
Jamaa anatupiga kamba. Kulikuwa na dirisha la usajili la aina mbili dirisha la CAF na la TFF. Kama ingekuwa CAF na TFF wanategemeana katika usajili basi CAF wasingefungua pazia lao la usajili bali wangekuwa wana share taarifa kutoka kwa mashirika wanachama wao kama vile TFF.

Dirisha la CAF system ni ya wao wenyewe CAF ila wanachofanya CAF ni kutuma link na password kwa mashirika wanachama ambao watakaoshiriki mashindano ya kimataifa ili waweze kuwapa timu zao zinazoshiriki michuano wajaze taarifa za kila mchezaji atakayetumika katika mashindano ya kimataifa
 
Sawa, tuchukulie CAF wanaweza kupokea majina mpaka trh 31 August. Turud kwenye hoja ya Kisinda, Yanga na TFF.

Kisinda amesajiliwa na Yanga tarehe ngapi na saa ngapi?

Ni vitu gani ambavyo TFF wanapaswa kuambatinisha kama vithibisho ambavyo vinahitajika na CAF?

Jambo lingine, Je TFF walikuwa na hivyo kabla ya September 1?
 
Ebu msome Tena labda hujamwelewa.
 
Hiyo aya ya mwisho ndio majibu yenyewe.

kyombo hajaondoshwa kwenye dirisha la usajili, timu amebadirishwa timu tu. (Kama alikuwa amekamilisha)

Kahata na perfect madirisha yalikuwa tofauti. Mmoja alimkuta mwenzake hivyo kanuni ya dirisha moja haifanyi kazi.

yanga wangeweza muhamishia timu yingine Mmoja wa wachezaji wake wakigeni ili kisinda aingie na sio kukata usajili
 
Wewe nawe ndio umepuyanga kabisa CAF wana system yao tofauti kabisa na system ya TFF. na wenye wajibu wa kuingiza majina ya wachezaji na namba za jezi watakazovaa ni vilabu husika. CAF walitenga deadline ya usajili wa wachezaji watakaotumika katika michuano ya kimataifa ambayo ilikuwa ni August 15 ila timu inaweza kuchelewa kuwasilisha majina ya wachezaji mpaka tarehe 31 August ila kwa faini. TFF katika CAF wanahusika tu kuwasilisha majina ya timu zinazoshiriki michuano ya kimataifa na sio habari za wachezaji
Haya tuambie hyo tofauti ili na sisi tujue iliyopo kwa Caf na tff maana hyo ilikuwa zamani ikabidi wa adjust ili iwe sawa kwasababu ya changamoto kama hizo wewe unasema Caf ni tofauti na tff viongozi wa yanga ni vilaza sana toka walivyokosea kufanya substitution siwaamini tena.
 
Jamaa anatupiga kamba. Kulikuwa na dirisha la usajili la aina mbili dirisha la CAF na la TFF. Kama ingekuwa CAF na TFF wanategemeana katika usajili basi CAF wasingefungua pazia lao la usajili bali wangekuwa wana share taarifa kutoka kwa mashirika wanachama wao kama vile TFF.

Dirisha la CAF system ni ya wao wenyewe CAF ila wanachofanya CAF ni kutuma link na password kwa mashirika wanachama ambao watakaoshiriki mashindano ya kimataifa ili waweze kuwapa timu zao zinazoshiriki michuano wajaze taarifa za kila mchezaji atakayetumika katika mashindano ya kimataifa
Inaonekana hata kinachoongelewa hukielewi kabisa ndo maana unaandika magazeti elewa mada kwanza hyo deadline ya wachezaji na TFF ni nje ya mada suala ni je huo mda aliosajiliwa kinyambe inawezekana kukamilisha taarifa zake huko caf ili waweze kumtumia wakati majina 12 ya team zote zinashoriki Caf champions league yameshapelekwa na kujazwa kwenye mfumo .
 
Hiyo aya ya mwisho ndio majibu yenyewe.

kyombo hajaondoshwa kwenye dirisha la usajili, timu amebadirishwa timu tu. (Kama alikuwa amekamilisha)

Kahata na perfect madirisha yalikuwa tofauti. Mmoja alimkuta mwenzake hivyo kanuni ya dirisha moja haifanyi kazi.

yanga wangeweza muhamishia timu yingine Mmoja wa wachezaji wake wakigeni ili kisinda aingie na sio kukata usajili
Mkuu hao hawawezi kukuelewa hata uwaambie vipi maana nguruwe pori kashawapiga kamba tayari.
 
Back
Top Bottom