cyrustheruler
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 2,044
- 1,869
Isee hii ni live acc au demo kama ni live hongeraHakuna broker sababu hii ishu bado ni changa,ikikua watakuwepo tu.na watakuta washatungiwa sheria.
Isee hii ni live acc au demo kama ni live hongera
Isee nitakutafuta mkuu hii sio habaReal mkuu demo tupa kulee [emoji706]
SafiiiiNi wapi ametajwa retail trader mkuu??
Anayetozwa kodi ni broker na sio retail trader!!! Na bongo hatuna brokers. Na jinsi wawekezaji wanavyopigwa vita sahau broker kuja kuwekeza ela zake hapa!!
Tutakomaa na brokers wa uk... South.. usa... Na kwingineko... Wakitaka kodi wawafwate huko!!
Alafu hiyo habari mbona kama hujaisoma ukaimaliza mkuu??
Mambo vp mkuuNi wapi ametajwa retail trader mkuu??
Anayetozwa kodi ni broker na sio retail trader!!! Na bongo hatuna brokers. Na jinsi wawekezaji wanavyopigwa vita sahau broker kuja kuwekeza ela zake hapa!!
Tutakomaa na brokers wa uk... South.. usa... Na kwingineko... Wakitaka kodi wawafwate huko!!
Alafu hiyo habari mbona kama hujaisoma ukaimaliza mkuu??
Shwari mkuu!!Mambo vp mkuu
Nilichogundua skuhiz nchi hii watu wanaombeana saana njaa yan..yaan mtu hata kama utaanzisha nin,kwenye biashara,..kwanza wadau ndio wa kwanza kukukatisha tamaa,yaan wanaeza hata kukusemelea kwenye taasis binafsi kua huyu kabda tuseme umefungua baa au mgahawa au bakery,watu wa eneo hilo kwa roho mbaya utashangaa umefungua leo kesho tfda,au bwana afya,au wakaguz kibaoo,..na pia hawa TRA yan kama wanatumwa vile yan mtu anakuja kama anakisiran anataka ufunge biashara sjui,..ngoz nyeus hii,sjui ina laana ama vp
Ntext kwa Pm tuongeeShwari mkuu!!
Tofautisha kati ya matamanio na hali halisi.Na ukichunguza hata hii thread utagundua huyu mleta ni miongoni mwa hao wenye roho nyeusi na anatamani kuona serikali ikiweka upinzani chini ya hii forex
Hamna retail trader aliyeguswa. Acha kupotosha watu!!Tofautisha kati ya matamanio na hali halisi.
Kwani serikali ikihusika nini kitaharibika?au unafikiri serikali itahusika kwa kupiga marufuku?
Wewe kweli unamawazo?hii kitu niliyoandika hapa imetokea Kenya huko kwa hyo kusema tz inaweza kuiga ni kua na roho nyeusi?
Nimekua nikifatilia hii kazi na naona imepata wafuasi wengi wanaotoa mrejesho mzuri,bila wasi inafuta ile hofu ya wanaohoji uhalali wake.
Serikali ya Kenya kupitia Capital Markets Authority(CMA) imeweka ada mbalimbali kwa broker na traders wadogo wa forex.Na watataka wawe wanatumia majukwaa yao ambayo yapo nchini mwao na wala sio ulaya au kwingineko(online and physical presence)
Hapa Tanzania ipo Capital Markets and Securities Authority(CMSA),walivyo na moto safari hii,wanaweza nao wakajifunza toka kwa wenzao wa Kenya.
Vipi kuna mabadikiko yoyote kwenye minajili ya malipo/faida zinaweza kuathiriwa?
Zaidi ingia>>Thousands of online forex traders face CMA crackdown
Tofautisha kati ya matamanio na hali halisi.
Kwani serikali ikihusika nini kitaharibika?au unafikiri serikali itahusika kwa kupiga marufuku?
Wewe kweli unamawazo?hii kitu niliyoandika hapa imetokea Kenya huko kwa hyo kusema tz inaweza kuiga ni kua na roho nyeusi?
Anayelipa kodi ni broker au institutes sio trader wa kawaida!! Wakitaka kodi wakawabane brokers huko nje kama wana uwezo..Kama wanapata faida kulipa kodi ni lazima.
Forex mpaka vyuoni inafundishwa, kuna vitabu unatakiwa usome na uelewe, je DECI ilikua inafundishwa vyuoni??Me nikikumbuka DECI, daaah. Na ilitokea kenya hukohuko kwa mwavuli wa dini.
Forex mpaka vyuoni inafundishwa, kuna vitabu unatakiwa usome na uelewe, je DECI ilikua inafundishwa vyuoni??
Hujajibu swali nililouliza!Kila zama na techniques zake. Enzi hizo kulikua na 'kekundu na keusi' lakini saiv kuna betting. Tembea na beat arifu