Wadau wa FOREX,mnamulikwa soon na serikali

Isee hii ni live acc au demo kama ni live hongera

Real mkuu demo tupa kulee [emoji706]
4fd9de49fc7a9e9585a540cf7b67decf.jpg
 
Ni wapi ametajwa retail trader mkuu??

Anayetozwa kodi ni broker na sio retail trader!!! Na bongo hatuna brokers. Na jinsi wawekezaji wanavyopigwa vita sahau broker kuja kuwekeza ela zake hapa!!

Tutakomaa na brokers wa uk... South.. usa... Na kwingineko... Wakitaka kodi wawafwate huko!!

Alafu hiyo habari mbona kama hujaisoma ukaimaliza mkuu??
Safiiii
 
Mambo vp mkuu
 
Nilichogundua skuhiz nchi hii watu wanaombeana saana njaa yan..yaan mtu hata kama utaanzisha nin,kwenye biashara,..kwanza wadau ndio wa kwanza kukukatisha tamaa,yaan wanaeza hata kukusemelea kwenye taasis binafsi kua huyu kabda tuseme umefungua baa au mgahawa au bakery,watu wa eneo hilo kwa roho mbaya utashangaa umefungua leo kesho tfda,au bwana afya,au wakaguz kibaoo,..na pia hawa TRA yan kama wanatumwa vile yan mtu anakuja kama anakisiran anataka ufunge biashara sjui,..ngoz nyeus hii,sjui ina laana ama vp
 
Na ukichunguza hata hii thread utagundua huyu mleta ni miongoni mwa hao wenye roho nyeusi na anatamani kuona serikali ikiweka upinzani chini ya hii forex
 
Hii mavitu ni kamari tu kama ilivyo kamari nyingine
 
wakiipiga marufuku online itafanywa physical labda wasituuzie fedha za kigeni tukienda kununua
 
Na ukichunguza hata hii thread utagundua huyu mleta ni miongoni mwa hao wenye roho nyeusi na anatamani kuona serikali ikiweka upinzani chini ya hii forex
Tofautisha kati ya matamanio na hali halisi.
Kwani serikali ikihusika nini kitaharibika?au unafikiri serikali itahusika kwa kupiga marufuku?
Wewe kweli unamawazo?hii kitu niliyoandika hapa imetokea Kenya huko kwa hyo kusema tz inaweza kuiga ni kua na roho nyeusi?
 
Hamna retail trader aliyeguswa. Acha kupotosha watu!!
 
Me nikikumbuka DECI, daaah. Na ilitokea kenya hukohuko kwa mwavuli wa dini.
Nimekua nikifatilia hii kazi na naona imepata wafuasi wengi wanaotoa mrejesho mzuri,bila wasi inafuta ile hofu ya wanaohoji uhalali wake.
Serikali ya Kenya kupitia Capital Markets Authority(CMA) imeweka ada mbalimbali kwa broker na traders wadogo wa forex.Na watataka wawe wanatumia majukwaa yao ambayo yapo nchini mwao na wala sio ulaya au kwingineko(online and physical presence)

Hapa Tanzania ipo Capital Markets and Securities Authority(CMSA),walivyo na moto safari hii,wanaweza nao wakajifunza toka kwa wenzao wa Kenya.

Vipi kuna mabadikiko yoyote kwenye minajili ya malipo/faida zinaweza kuathiriwa?

Zaidi ingia>>Thousands of online forex traders face CMA crackdown
 
Tofautisha kati ya matamanio na hali halisi.
Kwani serikali ikihusika nini kitaharibika?au unafikiri serikali itahusika kwa kupiga marufuku?
Wewe kweli unamawazo?hii kitu niliyoandika hapa imetokea Kenya huko kwa hyo kusema tz inaweza kuiga ni kua na roho nyeusi?

Huna lolote wewe una tamani iwe hivyo kwamba serikali iweke pingamizi dhidi ya forex na sio kitu kingine

Hili kuthibitisha hili umekurupuka kuleta thread bila hata kuelewa kilichoandikwa na kumaanishwa kwenye hiyo link, umekimbilia kuleta hisia na matamanio yako.

Kilichomo kwenye hiyo link na kichwa chako cha hii habari ni vitu viwili visivyo landana, eti "wadau wa forex mtamulikwa soon" umeona kwanza waliomulikwa huko KENYA ni akina nani?

Kama umeshindwa kuelewa forex participants waliomulikwa huko kenya hizi kama sio hisia ni nini?
 
Me nikikumbuka DECI, daaah. Na ilitokea kenya hukohuko kwa mwavuli wa dini.
Forex mpaka vyuoni inafundishwa, kuna vitabu unatakiwa usome na uelewe, je DECI ilikua inafundishwa vyuoni??
 
Kila zama na techniques zake. Enzi hizo kulikua na 'kekundu na keusi' lakini saiv kuna betting. Tembea na beat arifu

Hujajibu swali nililouliza!

Forex ifundishwa hadi vyuo vikuu, je deci ilikua inafundishwa vyuo vikuu?
 
Back
Top Bottom