Sasa unauliza nini na umesema wewe genius na unapenda kujifunza mwenyeweNajifunza mzee baba ,,mimi genius napenda kujifunza mwenyewe.
Nieleweshe kuchoma account kunatokana na vitu gani???
Mkuu samahani hii ni nini unachokisemaKuna anguko kubwa la GPBUSD nunueni haraka sanaaaaaaaa baadae mje mpate profit za kutoshaaaaaaa
23 positions zote hizo??
Umesha choma account mzee baba
Mnashangaa kwani mmeambiwa alikuwa na balance ya ngapi?wewe noma, positions 23 zote hizo?
[emoji1]Mnashangaa kwani mmeambiwa alikuwa na balance ya shngapi?
Amesema hamba hela kabisa mkuuMargin level ilikuwa chini ya 100% broker anacho fanya niku close some positions kuongeza margin, kuna some broker ata funga position zote ,
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mbona unamvunja moyo si amesema anajifunzaSasa mbona unatuuliza wakati wewe ni genius unaejifunza mwenyewe!
Kama ni kweli hujui pesa imeenda wapi nakushauri uache kutrade, then jifunze mpaka utakapojua ni nini unafanya!
[emoji23] [emoji23] unataka kusema shilawadu huwa wanasema mambo ni hivi hata msibani?Shilawadu wanasema mambo ni hivi
Wewe unatuchezea akili eeh?Kuna anguko kubwa la GPBUSD nunueni haraka sanaaaaaaaa baadae mje mpate profit za kutoshaaaaaaa
[emoji23]Sasa mbona unatuuliza wakati wewe ni genius unaejifunza mwenyewe!
Kama ni kweli hujui pesa imeenda wapi nakushauri uache kutrade, then jifunze mpaka utakapojua ni nini unafanya!
Hizi promo za kishamba sana,Hellow wakuu!!
Kwa wale wageni kwenye Forex (newbies/beginners) naamini mnaendelea kusoma vitabu vya Forex na kufanya majaribio kwenye demo ,
Nawashauri msitumie demo Bali fungueni live cent account kwa broker anayeitwa Templer FX Trader , cent akaunt ni live Akaunti ambayo ukideposit $1(Tsh 2,250/=) kwenye Mt4 itasoma $100 ,, inamaana kila $1 unayodeposit inazidishwa Mara 100, ni akaunti nzuri kwa kujifunzia kuliko kutumia demo kwa sababu demo ni hela ya kufikirika hata ukiikuza huwezi kutoa na hata ukiunguza hudaiwi na MTU. Demo inapunguza ule userious Wa MTU kujifunza Forex, ila ukitumia cent akaunti ni nzuri zaidi kwa kujifunzia kwa sababu ni pesa halisi ambayo unaweza kuitoa km kawaida , unanua vocha na mahitaji mengine kama Sabuni, pia inaongeza userious Wa kujifunza na kugundua wapi umekosea,, Cent akaunti itakuongezea umakini na kukupa ujasiri zaidi katika kujifunza..
Uzuri mwingine hiyo $1 utadeposit kwa njia ya mpesa huyu broker anakubali mihamala kwa njia ya Mpesa huhitaji kwenda hadi Bank, ,, ukishaiva vizur utafungua Universal live akaunti. Hii ndyo akaunti rasmi ya kutrade na kupata hela ya kuendesha maisha. Cent akaunti ni kwa ajili ya kujifunzia pamoja na kupata hela ya vocha[emoji16]
Fungua Cent akaunti Leo achana na Demo ingia kwenye website yao hii Templer FX Trader
Verification ni masaa24 tu unakuwa ushapata akaunti. Unachotakiwa kuwa nacho ni ID mojawapo kati ya kupigia kura,lessen passport, au cha uraia
Nijuze ukikwama au km kuna sehemu hujaelewa jisikie huru kuuliza.
Sasa wewe pilipili usiyoila inakuwashia nini?tunawambia forex ni.utapeli hamsikii mnakua vichwa ngumu haya sasa