Wadau wa forex trading nisaidieni hapa

Wadau wa forex trading nisaidieni hapa

dah. Nitacheka zaidi kama hiyo account uliyokuwa unatrade ni real halafu uwe hujui hela imeenda wapi... kama ni demo sitashangaa... .ila umekurupuka kuanza kutrade boss.... rudi ukaendelee kusoma kwanza
 
Najifunza mzee baba ,,mimi genius napenda kujifunza mwenyewe.

Nieleweshe kuchoma account kunatokana na vitu gani???
Sasa unauliza nini na umesema wewe genius na unapenda kujifunza mwenyewe
 
  • Thanks
Reactions: 911
Kuna anguko kubwa la GPBUSD nunueni haraka sanaaaaaaaa baadae mje mpate profit za kutoshaaaaaaa
 
Kuna anguko kubwa la GPBUSD nunueni haraka sanaaaaaaaa baadae mje mpate profit za kutoshaaaaaaa
Mkuu samahani hii ni nini unachokisema

Tununue tubufadhi baadae tupate faida hii forex ni ipi unayoizungumzia wewe?
 
Nimejifunza namna ya kuunguza account nlkuwa sijui kuhusu hili.

Asanteni sanaa naendelea sanaaa kujifunza.
 
Sasa mbona unatuuliza wakati wewe ni genius unaejifunza mwenyewe!

Kama ni kweli hujui pesa imeenda wapi nakushauri uache kutrade, then jifunze mpaka utakapojua ni nini unafanya!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mbona unamvunja moyo si amesema anajifunza
 
Fund again your account broh. Ushachoma tayari.
 
Hellow wakuu!!
Kwa wale wageni kwenye Forex (newbies/beginners) naamini mnaendelea kusoma vitabu vya Forex na kufanya majaribio kwenye demo ,

Nawashauri msitumie demo Bali fungueni live cent account kwa broker anayeitwa Templer FX Trader , cent akaunt ni live Akaunti ambayo ukideposit $1(Tsh 2,250/=) kwenye Mt4 itasoma $100 ,, inamaana kila $1 unayodeposit inazidishwa Mara 100, ni akaunti nzuri kwa kujifunzia kuliko kutumia demo kwa sababu demo ni hela ya kufikirika hata ukiikuza huwezi kutoa na hata ukiunguza hudaiwi na MTU. Demo inapunguza ule userious Wa MTU kujifunza Forex, ila ukitumia cent akaunti ni nzuri zaidi kwa kujifunzia kwa sababu ni pesa halisi ambayo unaweza kuitoa km kawaida , unanua vocha na mahitaji mengine kama Sabuni, pia inaongeza userious Wa kujifunza na kugundua wapi umekosea,, Cent akaunti itakuongezea umakini na kukupa ujasiri zaidi katika kujifunza..
Uzuri mwingine hiyo $1 utadeposit kwa njia ya mpesa huyu broker anakubali mihamala kwa njia ya Mpesa huhitaji kwenda hadi Bank, ,, ukishaiva vizur utafungua Universal live akaunti. Hii ndyo akaunti rasmi ya kutrade na kupata hela ya kuendesha maisha. Cent akaunti ni kwa ajili ya kujifunzia pamoja na kupata hela ya vocha[emoji16]

Fungua Cent akaunti Leo achana na Demo ingia kwenye website yao hii Templer FX Trader
Verification ni masaa24 tu unakuwa ushapata akaunti. Unachotakiwa kuwa nacho ni ID mojawapo kati ya kupigia kura,lessen passport, au cha uraia

Nijuze ukikwama au km kuna sehemu hujaelewa jisikie huru kuuliza.
Hizi promo za kishamba sana,

Waacheni watu watafiti wapate broker wao wenyewe,

Achaneni na comission,

Trader gani wewe badala ya kutrade kila siku unatangaza broker?
 
tunawambia forex ni.utapeli hamsikii mnakua vichwa ngumu haya sasa
Sasa wewe pilipili usiyoila inakuwashia nini?

Yaani makande ale mwingine wewe uhangaike kujamba?

Agongwe mwingine wewe ukazane kukata viuno

Ni kweli forex ni utapeli sawa acheni wanaotaka kutapeliw watapeliwe

Wewe inakuuma nini kama mtu ushamuelimisha na akagoma kusikiliza mawazo yako

Wote hatuwezi kuwa mabenki teller kama wewe mkuu

Anyway ni utapeli kweli
 
Back
Top Bottom