Wadau wa forex trading nisaidieni hapa

Wadau wa forex trading nisaidieni hapa

dottoz

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2012
Posts
1,510
Reaction score
870
Muda si mrefu nimepàta preshaa baada ya kukuta account yangu pesa hàipo imepungua niliacha trading 23 zikirun ili baadae kukikucha nizitazàme,,natazama midà hii nakutà zimekuwà cànceled ñà pesà hakunà nilizowekeza pale...
 
23 positions zote hizo??

Umesha choma account mzee baba
 
Huyu gt forex yenyewe haijui km ht kuunguza acct hujui inaunguaje ww kwel hujui unafny nn?
 
Najifunza mzee baba ,,mimi genius napenda kujifunza mwenyewe.

Nieleweshe kuchoma account kunatokana na vitu gani???
 
Mkuu ulikuwa unajua lakini unachokifanya au uli-press to button ya s”sell” na “buy”

Positio 23 unaziacha overnight seriously bila kuwa na Risk management

Anyway ndo makosa hayo fund account soma risk management vizuri kuwa na TRADING PLAN mambo yatajipa its okey to blow na bado hujablow utablow sana acc
 
Margin level ilikuwa chini ya 100% broker anacho fanya niku close some positions kuongeza margin, kuna some broker ata funga position zote ,
 
Najifunza mzee baba ,,mimi genius napenda kujifunza mwenyewe.

Nieleweshe kuchoma account kunatokana na vitu gani???
Sasa mbona unatuuliza wakati wewe ni genius unaejifunza mwenyewe!

Kama ni kweli hujui pesa imeenda wapi nakushauri uache kutrade, then jifunze mpaka utakapojua ni nini unafanya!
 
Ulitumia stop loss?

Back
Top Bottom