Anajiandaa kufungua kanisa lake aanze kupiga pesaLeo niliamua kufanya utafiti hapa mtaani kwangu kwa mtindo wa kipima joto kuhusu mtangazaji nguli wa habari kutoka ITV.
Wadau wa habari nchini wamekuwa na maoni tofauti kuhusu swali la kipima joto lililouliza "tabia ya Sam Mahela kupenda kuvaa suti za kung'aa,je kunaharibu habari?"
Turudi studio kwa matokeo rasmi
Ndiyo:89%
Hapana:0%
Sijui:11%
Maoni
Mahela unajua kusoma habari vizuri ila tatizo unatuumiza macho watazamaji
Madai yake anatangaza kwa hisiaOgopa sana mtu anaejifanya anajua, kumbe hajui
haha haha Tanzania ya ming'aradikoLeo niliamua kufanya utafiti hapa mtaani kwangu kwa mtindo wa kipima joto kuhusu mtangazaji nguli wa habari kutoka ITV.
Wadau wa habari nchini wamekuwa na maoni tofauti kuhusu swali la kipima joto lililouliza "tabia ya Sam Mahela kupenda kuvaa suti za kung'aa,je kunaharibu habari?"
Turudi studio kwa matokeo rasmi
Ndiyo:89%
Hapana:0%
Sijui:11%
Maoni
Mahela unajua kusoma habari vizuri ila tatizo unatuumiza macho watazamaji
[emoji23] [emoji2] [emoji3] [emoji2] [emoji1] [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2]Pia mwambie bwana yule wa magogoni apunguze kuvaa mi suti mikubwa mikubwa over size [emoji1] [emoji1]
Aaaaah umenivunja mbavi binamu, etishaaMadai yake anatangaza kwa hisia
Aaaah jamani watu mna maneno khaa!! Sasa mnanichokoza warumi nimwage ubuyu kuhusu jamaa, na mnajua fika mie umbea nimeacha naona mnanibeep
Pia mwambie bwana yule wa magogoni apunguze kuvaa mi suti mikubwa mikubwa over size [emoji1] [emoji1]