BONGOLALA
JF-Expert Member
- Sep 14, 2009
- 16,508
- 11,897
Anajiandaa kufungua kanisa lake aanze kupiga pesaLeo niliamua kufanya utafiti hapa mtaani kwangu kwa mtindo wa kipima joto kuhusu mtangazaji nguli wa habari kutoka ITV.
Wadau wa habari nchini wamekuwa na maoni tofauti kuhusu swali la kipima joto lililouliza "tabia ya Sam Mahela kupenda kuvaa suti za kung'aa,je kunaharibu habari?"
Turudi studio kwa matokeo rasmi
Ndiyo:89%
Hapana:0%
Sijui:11%
Maoni
Mahela unajua kusoma habari vizuri ila tatizo unatuumiza macho watazamaji