Wadau wa habari wamemshauri Sam Mahela apunguze kuvaa suti za kung'aa

Wadau wa habari wamemshauri Sam Mahela apunguze kuvaa suti za kung'aa

Leo niliamua kufanya utafiti hapa mtaani kwangu kwa mtindo wa kipima joto kuhusu mtangazaji nguli wa habari kutoka ITV.
Wadau wa habari nchini wamekuwa na maoni tofauti kuhusu swali la kipima joto lililouliza "tabia ya Sam Mahela kupenda kuvaa suti za kung'aa,je kunaharibu habari?"
Turudi studio kwa matokeo rasmi
Ndiyo:89%
Hapana:0%
Sijui:11%
Maoni
Mahela unajua kusoma habari vizuri ila tatizo unatuumiza macho watazamaji
Anajiandaa kufungua kanisa lake aanze kupiga pesa
 
Afu ile staili ya kuinuka kwa mguu mmoja huku anarepoti taarifa inayoendana na ukandamizi utadhani anawatetea wanyonge aisee huwa ananifurahisha sana pale
 
Leo niliamua kufanya utafiti hapa mtaani kwangu kwa mtindo wa kipima joto kuhusu mtangazaji nguli wa habari kutoka ITV.
Wadau wa habari nchini wamekuwa na maoni tofauti kuhusu swali la kipima joto lililouliza "tabia ya Sam Mahela kupenda kuvaa suti za kung'aa,je kunaharibu habari?"
Turudi studio kwa matokeo rasmi
Ndiyo:89%
Hapana:0%
Sijui:11%
Maoni
Mahela unajua kusoma habari vizuri ila tatizo unatuumiza macho watazamaji
haha haha Tanzania ya ming'aradiko
 
Pia mwambie bwana yule wa magogoni apunguze kuvaa mi suti mikubwa mikubwa over size [emoji1] [emoji1]
[emoji23] [emoji2] [emoji3] [emoji2] [emoji1] [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2]
 
Mimi mbali na suti sipendi ana sifa sana saa anahoji,hampi mhojiwa muda wa kueleza jambo anaongea yeye zaidi,aache sifa.
 
Jamaa fresh,HV kwann watu hamuishi maneno,achen jamaa afanye kazi take vizuri in anavyofanya.
 
Back
Top Bottom