Wadau wa habari wamemshauri Sam Mahela apunguze kuvaa suti za kung'aa

Kusema kwel zile suit mpaka zina kera, nilijuaga ni mimi tu peke yangu ninaye muona.
 
Aaaah jamani watu mna maneno khaa!! Sasa mnanichokoza warumi nimwage ubuyu kuhusu jamaa, na mnajua fika mie umbea nimeacha naona mnanibeep
 
Tunasubiri mdadavuo wote mkuu
 
Aaaah jamani watu mna maneno khaa!! Sasa mnanichokoza warumi nimwage ubuyu kuhusu jamaa, na mnajua fika mie umbea nimeacha naona mnanibeep
Binamu, nimekaa mkao wa kusubiri ubuyu
 
Back
Top Bottom