Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 5,487
- 4,817
haaa kwamba jamaaa bado hajaoa? seriously??Huwa namshauri kila cku kaka angu aoe, angekuwa kashavuta jiko angalau angemsaidia swala la mavazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haaa kwamba jamaaa bado hajaoa? seriously??Huwa namshauri kila cku kaka angu aoe, angekuwa kashavuta jiko angalau angemsaidia swala la mavazi
Bado yupo single inabid avumiliwe tu kwa swala la mavazihaaa kwamba jamaaa bado hajaoa? seriously??
Si wanawake wote wanajua kupangilia nguoHuwa namshauri kila cku kaka angu aoe, angekuwa kashavuta jiko angalau angemsaidia swala la mavazi
Ushawahi linganisha rangi ya sura yake na mikono?Mm ananikera nywele cjui anapaka pikooooo....jaman piko aachie watt was form one b..yy ashakua MTU mzima
Ha ha ha nimecheka kwa sauti mkuuInawezekana kabla hajavaa suti Labda anaziloweka kwenye mafuta ya kupikia.
Tangu msiba wa mzee Six utokee Le Baharia amehamia Masaki, Tabora pia alikwenda.MSAGA SUMU acha uchokozi mwambie jamaa yko le mutuz aache vibukta sam mahela ana mashaka yake muacheni kuanzia nywele kalkit arab mpk suti hahahah
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nilimuona jamaa kavaa suti inang'aa hiyo halafu kichwani kapaka superblack. Nikajiuliza huyu jamaa huwa anaogea mafuta ya kupikia au? [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Ha ha ha nimecheka kwa sauti mkuu
mwingine ni yule jamaa wa clouds Sebastian Ndege kajichafua kwa piko kuanzia nywele,nyusi mpk ndevu mpk anakua na muonekano wa "Kaoge"Mm ananikera nywele cjui anapaka pikooooo....jaman piko aachie watt was form one b..yy ashakua MTU mzima
hahaha sam bhana anazngua ase.Bado yupo single inabid avumiliwe tu kwa swala la mavazi
Tunasubiri mdadavuo wote mkuuAaaah jamani watu mna maneno khaa!! Sasa mnanichokoza warumi nimwage ubuyu kuhusu jamaa, na mnajua fika mie umbea nimeacha naona mnanibeep
Binamu, nimekaa mkao wa kusubiri ubuyuAaaah jamani watu mna maneno khaa!! Sasa mnanichokoza warumi nimwage ubuyu kuhusu jamaa, na mnajua fika mie umbea nimeacha naona mnanibeep
Mke watoto beki tatu na mchepukoHuo utafiti umeufanya kwa watu wangapi?
Miss chagga ana taarifa hizi??haaa kwamba jamaaa bado hajaoa? seriously??
hahahha....kama hana fanya kumfikishia mkuu.Miss chagga ana taarifa hizi??
Ndo nini? Kuuliza c ujinga😀😀😀😀😀😀