chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 16,859 Reaction score 28,112 Aug 23, 2024 #41 Haitasaidia chochote, la msingi ni vijana kuepuka mihemuko, na kufata maneno ya wanasiasa, mwisho wa siku mzigo unaubeba mwenyewe, na kuleta simanzi kwenye familia. Hili lo nchi ni likubwa, usikubali kulibeba mgongoni peke yako
Haitasaidia chochote, la msingi ni vijana kuepuka mihemuko, na kufata maneno ya wanasiasa, mwisho wa siku mzigo unaubeba mwenyewe, na kuleta simanzi kwenye familia. Hili lo nchi ni likubwa, usikubali kulibeba mgongoni peke yako