Wadau wa JF tujuane kwa kazi zetu, na dharau zitapungua

Wadau wa JF tujuane kwa kazi zetu, na dharau zitapungua

Tangu nianze kusoma uzi huu sijaona mzibua vyoo na mchimba makaburi kama mimi! Ina maana wote humu mpo maofsini? Basi nipeni kazi na mimi mnipumuzishe na kazi hizi ngumu.
 
Back
Top Bottom