Wadau wa JF tujuane kwa kazi zetu, na dharau zitapungua

Wadau wa JF tujuane kwa kazi zetu, na dharau zitapungua

Wadau wa humu wote wanafanya kazi za kuchekesha.
 
Mtumishi wa umma mtiifu kwa serikali inayokuwapo madarakani wakati huo
 
Mtumishi wa umma mtiifu kwa serikali inayokuwapo madarakani wakati huo
mtumishi gani mtiift latika nchi hii zaidi ya Mama Samiah? Mama anajitahidi kukomesha ufsadi lakini mafsadi wanajitahidi kuibua mbinu mpya za kuchota hela. Badilikeni watumishi
 
Mkulima wa nyanya na dengu Misungwi Mwanza. Ukikaribia mjini kabla hujafika kwa mama Kabula ulizia kwa mzee Shimba mkulima wa nyanya utaletwa hata na mtoto mdogo.

Ila mtaani naheshimika kwa utu, upendo na ubinadamu wangu; na siyo sababu ya ukulima wangu wa nyanya na dengu. Ukulima wa nyanya, vyeo na mali vinapita lakini utu, upendo na ubinadamu havipiti kamwe!📌📌📌🙏🏿
Hongera sana Mzee mwenzangu.
 
Safi kabisa kumbe unaoajua hii ni umalila ,yaani hata leo nikisema wasipige kura hapo oktoba watanisikiliza maana wanahisi mimi najua kila kitu .
Hii imeenda viral sasa watumishi wite wa kata hii wananiita Mr.Google
congra... Mkuu. Ileya, Igale Mbeya
 
Back
Top Bottom