Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi wazee wa bandari tunaruhusiwa kucomment?Wakuu
Humu kumekuwepo na dharau za hapa na pale humu jukwaani.unakuta mtu anakushambulia,anakutukana kwamba mnalingana umri, cheo, au mali.
Unakuta mtu anadharaulika mtaani kwake lakini jukwaani anajiona mtemi,anafoka na kuwadharau wengine
Leo nataka tukate mzizi wa fitna, tujuane kwa umri na vyeo vyetu,heshima itarejea na ustaarabu utarejea jukwaani
Mimi ni mmachinga wa kuuza maji,karanga,soda na vitu vidogovidogo vya wasafiri katika stand X na mkoa X (utani)
Karibuni
😄😄😄Amerppoka hovyo au sio!?utakuwa umeropoka mkuu,kama jina lako?
HeheheMimi ni mfanyabiashara mkubwa nchini, chai nakunywa china chakula cha mchana nakula Dubai.
Shoo kitandani napiga bao kuanzia tano, Nina PhD
Jf raha sana 🤣🤣🤣
Hehehe!!!Masiala ni nini mkuu?
Wewe comment yako isiyo ya masiala iko wapi?
Acha watu wajifurahishe maana mada yenyewe haina kichwa wala miguu. Ni masiala tupu! 😁
uzi upo kwenye jukwaa la utani,unategemea wote watakaotoa majibu hapa wako seriously? Hapana tupo hapa kupoteza mawazo,kufurahi,kutaniana na kusubiri muda wa nyapu ufike tuzinyapue, au nakosea mtani wangu mzabzab mkaazi wa kaliua TABORA ?Sasa kama wewe mwanzisha mada unafanya utani unategemea sisi wengine tuwe serious?
JF Expert memberWakuu
Humu kumekuwepo na dharau za hapa na pale humu jukwaani.unakuta mtu anakushambulia,anakutukana kwamba mnalingana umri, cheo, au mali.
Unakuta mtu anadharaulika mtaani kwake lakini jukwaani anajiona mtemi,anafoka na kuwadharau wengine
Leo nataka tukate mzizi wa fitna, tujuane kwa umri na vyeo vyetu,heshima itarejea na ustaarabu utarejea jukwaani
Mimi ni mmachinga wa kuuza maji,karanga,soda na vitu vidogovidogo vya wasafiri katika stand X na mkoa X (utani)
Karibuni
Mnasubiri mda wa nyapu??uzi upo kwenye jukwaa la utani,unategemea wote watakaotoa majibu hapa wako seriously? Hapana tupo hapa kupoteza mawazo,kufurahi,kutaniana na kusubiri muda wa nyapu ufike tuzinyapue, au nakosea mtani wangu mzabzab mkaazi wa kaliua TABORA ?
uzi upo kwenye jukwaa la utani,unategemea wote watakaotoa majibu hapa wako seriously? Hapana tupo hapa kupoteza mawazo,kufurahi,kutaniana na kusubiri muda wa nyapu ufike tuzinyapue, au nakosea mtani wangu mzabzab mkaazi wa kaliua TABORA
Nini tena!umeanza mkuu