Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Hizi mvua zinazonyesha tutumie kwa kilimo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CIA-Tz special missionWakuu
Humu kumekuwepo na dharau za hapa na pale humu jukwaani.unakuta mtu anakushambulia,anakutukana kwamba mnalingana umri, cheo, au mali.
Unakuta mtu anadharaulika mtaani kwake lakini jukwaani anajiona mtemi,anafoka na kuwadharau wengine
Leo nataka tukate mzizi wa fitna, tujuane kwa umri na vyeo vyetu,heshima itarejea na ustaarabu utarejea jukwaani
Mimi ni mmachinga wa kuuza maji,karanga,soda na vitu vidogovidogo vya wasafiri katika stand X na mkoa X (utani)
Karibuni
Mimi ni mtaalamu wa mambo ya dunia na nje ya dunia pia,ninajenga ndoto na kuzifanyia ukarabatihuwa unanikosha kwa hehehe zako hizo kibao,nikiona tu hehehe najua huyu ni mwamba. Vipi mkuu kazi yako nini?
Hapana mkuu, si uchawi... Ni teknolojia ya hali ya juu isiyoeleweka kwa watu wa kawaidando utaalamu gani huo mkuu? Unamaanisha uchawi?
Mimi ni mtu wa kawaida, isipokuwa tu si wa kawaida kama kawaida ya kawaida.wewe utakuwa mtu wa aina gani.
Aaaah! Unamzungumzia Reyna. Naam! Yeye kaamua kujikita katika kilimo na ufugaji. Na anafanya vizuri sana. Ni mfano wa kuigwa maana angeweza kubinua matako mitandaoni humu akapata akitakacho lakini kaamua kuwa tofauti. Kazi hii ya kilimo na ufugaji imemheshimisha sana. Mungu ambariki binti yule 🙏🏿kuna picha ulinitumia, mdada mmoja mrembo sana,yupo mbugani,ni eidha anang`oa mbegu za mpunga ama anapanda,na badae akawa amesimama nyuma ya magunia ya mpunga,kwa kweli nilizipenda hizo picha. Mkuu vipi hali ya mvua hapo misungwi.
reyna ni nani mkuu?Aaaah! Unamzungumzia Reyna. Naam! Yeye kaamua kujikita katika kilimo na ufugaji. Na anafanya vizuri sana. Ni mfano wa kuigwa maana angeweza kubinua matako mitandaoni humu akapata akitakacho lakini kaamua kuwa tofauti. Mungu ambariki binti yule
Ni huyo kwenye picha 😞reyna ni nani mkuu?
Masiala ni nini mkuu?Mnatoa comment zenu kwa masiala sana utadhan mmelazimishwa jmn. Masiala n mengi kweny hii thread
usije kuku ni lucas mwanshamba ID nyengine kama yule sufian juma wa singidaUnatakiwa kuheshimu “UTU” na sio wewe ni nani na unamiliki nn.