Wadau wa JF tujuane kwa kazi zetu, na dharau zitapungua

Wadau wa JF tujuane kwa kazi zetu, na dharau zitapungua

Kampuni langu naamasisha watu kama wewe muingie nipate pesa ...na kwa sasa nipo mbioni kuanzisha misikiti yangu na makanisa yangu tayari mashekh na mitume nimesha pata ...ubwabwa na nyama vitakuwa bure kabisa kama wewe adriz shida uliyokuwa unapata ya kutembea na ndizi uliyoficha kwenye barakashia tume imaliza maana ndizi zitakuwa za kutosha kabisa.
Huwezi kuta mkamaria sugu kuwa na maendeleo.
 
Wakuu

Humu kumekuwepo na dharau za hapa na pale humu jukwaani.unakuta mtu anakushambulia,anakutukana kwamba mnalingana umri, cheo, au mali.

Unakuta mtu anadharaulika mtaani kwake lakini jukwaani anajiona mtemi,anafoka na kuwadharau wengine

Leo nataka tukate mzizi wa fitna, tujuane kwa umri na vyeo vyetu,heshima itarejea na ustaarabu utarejea jukwaani

Mimi ni mmachinga wa kuuza maji,karanga,soda na vitu vidogovidogo vya wasafiri katika stand X na mkoa X (utani)

Karibuni
Mpimbwe pharmacy wauzaji na wasambazaji wa ugoro ndani na nje ya nchi
 
Huwezi kuta mkamaria sugu kuwa na maendeleo.
Kuna akili kutawala kamari na kuna akili kutawaliwa na kamari
Niliwai kufundisha hapa kuhusu kunywa pombe ni haramu au la nilisema kunywa pombe ni kama kula chakula ...kula chakula kunaweza kuwa haramu pale kunapofikia daraja la URAFI na kunya mbombe kunakuwa harama pale kunapofikia daraja ya ULEVI ..
1)MRAFI NI MTU AMBAYE AKILI ZAKE ZINATAWALIWA NA KULA CHAKULA.

2)MLEVI NI MTU AMBAYE AKILI ZAKE ZINA TAWALIWA NA KUNYWA POMBE.
hivyo kila kitu unacho fanya inatakiwa akili ndiyo ikitawale la sivyo kituicho kinageuka kuwa HARAMU....hata kama kitu chenyewe ni dini..ndiyo maana viumbe visivyo na akili ya kupambanua mambo aviwajibiki kidini hata binadamu kichaa awajibiki kidini ..hapo unaona uhusiano wa 👉 akili na dini...ibilisi shetani anawapenda watu ambao dini zinatawala akili zao na kuwachukia watu ambao akili zinatawala dini zao.

Na ndiyo maana wacha mungu wa kale walikunywa pombe ila walijiepusha na ULEVI..

Hata ushabiki wa mipira unapo tawala akili yako ni HARAMU ...mambo ya sex ya mke na mume yanapo tawala akili yako ni HARAMU PIA ...fedha zinapo tawala akili zako ni HARAMU PIA NK
 
Wakuu

Humu kumekuwepo na dharau za hapa na pale humu jukwaani.unakuta mtu anakushambulia,anakutukana kwamba mnalingana umri, cheo, au mali.

Unakuta mtu anadharaulika mtaani kwake lakini jukwaani anajiona mtemi,anafoka na kuwadharau wengine

Leo nataka tukate mzizi wa fitna, tujuane kwa umri na vyeo vyetu,heshima itarejea na ustaarabu utarejea jukwaani

Mimi ni mmachinga wa kuuza maji,karanga,soda na vitu vidogovidogo vya wasafiri katika stand X na mkoa X (utani)

Karibuni
Mimi ni baba wa watoto 10kwa mama zao 10!na Bado 7wanamimba!
 
Mkulima wa nyanya na dengu Misungwi Mwanza. Ukikaribia mjini kabla hujafika kwa mama Kabula ulizia kwa mzee Shimba mkulima wa nyanya utaletwa hata na mtoto mdogo.

Ila mtaani naheshimika kwa utu, upendo na ubinadamu wangu; na siyo sababu ya ukulima wangu wa nyanya na dengu. Ukulima wa nyanya, vyeo na mali vinapita lakini utu, upendo na ubinadamu havipiti kamwe!📌📌📌🙏🏿
 
Back
Top Bottom