Wadau wa JF tujuane kwa kazi zetu, na dharau zitapungua

Wadau wa JF tujuane kwa kazi zetu, na dharau zitapungua

kivipi mkuu?
unatafutaje kujua kazi ya mtu wa mtandaoni msiejuana kisa unaona anavimba huku jf huko ni kuteseka na kutafuta namna ya kujifariji...... jf itumie kama kiburudisho ukianza kuifuatilia sana utaumia na ndio kama hivyo mtu anauliza kazi za watu
 
Mkulima wa nyanya na dengu Misungwi Mwanza. Ukikaribia mjini kabla hujafika kwa mama Kabula ulizia kwa mzee Shimba mkulima wa nyanya utaletwa hata na mtoto mdogo.

Ila mtaani naheshimika kwa utu, upendo na ubinadamu wangu; na siyo sababu ya ukulima wangu wa nyanya na dengu. Vyeo na mali vinapita lakini utu, upendo na ubinadamu havipiti kamwe!
kuna picha ulinitumia, mdada mmoja mrembo sana,yupo mbugani,ni eidha anang`oa mbegu za mpunga ama anapanda,na badae akawa amesimama nyuma ya magunia ya mpunga,kwa kweli nilizipenda hizo picha. Mkuu vipi hali ya mvua hapo misungwi.
 
unatafutaje kujua kazi ya mtu wa mtandaoni msiejuana kisa unaona anavimba huku jf huko ni kuteseka na kutafuta namna ya kujifariji...... jf itumie kama kiburudisho ukianza kuifuatilia sana utaumia na ndio kama hivyo mtu anauliza kazi za watu
nb: tupo katika jukwaa la utani chit chat,usichukulie serious kila jambo.
 
Kuna akili kutawala kamari na kuna akili kutawaliwa na kamari
Niliwai kufundisha hapa kuhusu kunywa pombe ni haramu au la nilisema kunywa pombe ni kama kula chakula ...kula chakula kunaweza kuwa haramu pale kunapofikia daraja la URAFI na kunya mbombe kunakuwa harama pale kunapofikia daraja ya ULEVI ..
1)MRAFI NI MTU AMBAYE AKILI ZAKE ZINATAWALIWA NA KULA CHAKULA.

2)MLEVI NI MTU AMBAYE AKILI ZAKE ZINA TAWALIWA NA KUNYWA POMBE.
hivyo kila kitu unacho fanya inatakiwa akili ndiyo ikitawale la sivyo kituicho kinageuka kuwa HARAMU....hata kama kitu chenyewe ni dini..ndiyo maana viumbe visivyo na akili ya kupambanua mambo aviwajibiki kidini hata binadamu kichaa awajibiki kidini ..hapo unaona uhusiano wa 👉 akili na dini...ibilisi shetani anawapenda watu ambao dini zinatawala akili zao na kuwachukia watu ambao akili zinatawala dini zao.

Na ndiyo maana wacha mungu wa kale walikunywa pombe ila walijiepusha na ULEVI..

Hata ushabiki wa mipira unapo tawala akili yako ni HARAMU ...mambo ya sex ya mke na mume yanapo tawala akili yako ni HARAMU PIA ...fedha zinapo tawala akili zako ni HARAMU PIA NK
Hata kuua pia mpaka unaweza kuua kiasi ilimradi kusitawale akili yako ?
 
Hata kuua pia mpaka unaweza kuua kiasi ilimradi kusitawale akili yako ?
Kila kitu ni lazima akili ndiyo itawale iwe ni kuua au kutokuua ndiyo maana kuna watu walipata dhambi kwa kuua na kuna watu walipata dhambi kwa kuto kuua visa vipo hadi ndani ya biblia na msahafu
 
Huyu ndio mimi sasa...niko na bangi la maamuzi magumu
 

Attachments

  • images.jpeg.jpg
    images.jpeg.jpg
    27.5 KB · Views: 1
Back
Top Bottom