Wadau wa JF tujuane kwa kazi zetu, na dharau zitapungua

Wadau wa JF tujuane kwa kazi zetu, na dharau zitapungua

007 kazini natambulika hivyo, wanaoshindwa kuitamka hiyo huishia kuniita James Bond.
Jasusi la kimataifa, shushushu mbombevu kwasasa niko vingunguti kikazi pia.
 
Mimi ni mbeba mikoba ya uganga, katika kamati ya ufundi ya timu mmoja wapo iliyopo kariakoo!

Hatuna Raha, tumekula hela ya uganga, mechi imeharishwa! Wenyewe wanataka hela yao.

Tunafikiria kutoa tamko Leo!
Hahahaa. Mkuu nashukuru nimecheka leo na wakati huu
 
Wakuu

Humu kumekuwepo na dharau za hapa na pale humu jukwaani.unakuta mtu anakushambulia,anakutukana kwamba mnalingana umri, cheo, au mali.

Unakuta mtu anadharaulika mtaani kwake lakini jukwaani anajiona mtemi,anafoka na kuwadharau wengine

Leo nataka tukate mzizi wa fitna, tujuane kwa umri na vyeo vyetu,heshima itarejea na ustaarabu utarejea jukwaani

Mimi ni mmachinga wa kuuza maji,karanga,soda na vitu vidogovidogo vya wasafiri katika stand X na mkoa X (utani)

Karibuni
Mimi ni Mvuvi tu wa Bagamoyo na Nungwi.
 
Mimi ni Mvuvi tu wa Bagamoyo na Nungwi.
mala zote umekuwa ukijisifia kuwa ni miongoni mwa wanainteligensia walidhawa/tukuka wa JESHI LA WANANCHI unapewa maagizo na wakuu wako kutembea nchi mbali mbali duniani hasa uganda. ulifukuzwa na kujikita katika uganga(hasa utabiri,umanju na ulozi wa simba) na uvuvi?
 
Katibu wa VIWAWA vijana wakatoliki
Jimbo kuu katoliki la KWETU
Parokia ya mt. wa KWETU
 
Wakuu

Humu kumekuwepo na dharau za hapa na pale humu jukwaani.unakuta mtu anakushambulia,anakutukana kwamba mnalingana umri, cheo, au mali.

Unakuta mtu anadharaulika mtaani kwake lakini jukwaani anajiona mtemi,anafoka na kuwadharau wengine

Leo nataka tukate mzizi wa fitna, tujuane kwa umri na vyeo vyetu,heshima itarejea na ustaarabu utarejea jukwaani

Mimi ni mmachinga wa kuuza maji,karanga,soda na vitu vidogovidogo vya wasafiri katika stand X na mkoa X (utani)

Karibuni
Sasa kama wewe mwanzisha mada unafanya utani unategemea sisi wengine tuwe serious?
 
Back
Top Bottom