kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,862
- 3,098
Inaweza kuisha wiki usione mteja akiingia dukani, pengine wanauza kupitia onlineHabari wadau hivi anamiliki wa maduka mitaani sio kariakoo tuseme Tabata au kimara hivi mnaomiliki maduka ya fashions nguo,viatu na mikoba mnategemea wapita njia tu au kuna mbinu zingine mnatumia kupata wateja
Hakika mpka unahisi wamerogwaInaweza kuisha wiki usione mteja akiingia dukani, pengine wanauza kupitia online
Sawa online Facebook na WhatsApp au kuna app zingine maana huko gharama siku 5 tu elfu 20Online business and free delivery
Duu hasa sisi tuliofungua maduka ya fashions mitaani mtaji ya kuunga itakuwaje tuna biashara moja hyohyo. Huwa wanabiashara nyingine tofauti na hizo,
. Usiige biashara, utafia kibra 🙂🙂
Wewe huuzi mkuu??Duu hasa sisi tuliofungua maduka ya fashions mitaani mtaji ya kuunga itakuwaje tuna biashara moja hyohyo
. Tatizo hamfanyi survey Kabla hamujaingia ndani ya biashara.Duu hasa sisi tuliofungua maduka ya fashions mitaani mtaji ya kuunga itakuwaje tuna biashara moja hyohyo
huwa tunaweka kwenye vituo vya mabus boss tunategea wanaotoka kazini ila wanakuwa pagumu hatari. Tatizo hamfanyi survey Kabla hamujaingia ndani ya biashara.
. Na maduka ya fashion yanachagua wateja,( kuna watu fulani special ndo watakuja kununua).
. Waliofungua hizo biashara mara nyingi huwa ni wauzaji wa ngada, yupo kwenye system, washirikina, wazee wa magendo. )
Kuna mtu alifungua duka la ngui za stara mambo yakawa magumu akabadili gia akaanza kuweka nguo za hovyo sasa hivi
Nauza pochi ndugu na vijoraWewe huuzi mkuu??
Sio kwamba faida ya nguo moja huwa kubwa kiasi cha kuweza kuendesha life ukiuza nguo kadhaa kwa siku.
Nguo sawa ila ukitoa moja kwa siku hatariWewe huuzi mkuu??
Sio kwamba faida ya nguo moja huwa kubwa kiasi cha kuweza kuendesha life ukiuza nguo kadhaa ng
Japo sijawahi kuielewa hiyo biashara aisee.Nguo sawa ila ukitoa moja kwa siku hatari
Aaah sasa hizo si zinatoka sanaNauza pochi ndugu na vijora
Hapo ongeza huduma ya kutengeneza kuchaNauza pochi ndugu na vijora
Hapo mpka umpate anayejua kupakaHapo ongeza huduma ya kutengeneza kucha
Eneo nilipo zipo slow wapemba wengiAaah sasa hizo si zinatoka sana